King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huu mjengo wako nauelewa sana ,unaupost sana ,umejenga wapi? Kinyerezi au Mbweni JKT?Sisi wenye majumba badala ya maboma tunacomment hapa pia?😁😁😁
View attachment 2537126
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mjengo wako nauelewa sana ,unaupost sana ,umejenga wapi? Kinyerezi au Mbweni JKT?Sisi wenye majumba badala ya maboma tunacomment hapa pia?😁😁😁
View attachment 2537126
Nyumba kali na ya kisasa kama hiyo inakosaje laundry?Sijawahi kujua sqm ila imeshiba. Ina vyumba 4 vya kulala(1 master, 1 self, 2 kawaida) na 1 ni study room, jumla 5, public toilet&bathroom, sitting room km ukubwa wa darasa, dining, kitchen km lote, store nk. Yani hakuna laundry tu. Mbao, bati na fundi iligonga m22 point something. Bati ni Msouth- versetile Alaf tena nilifuata mwenyewe kiwandani Fundi paa pekee alilamba m2.5. Boma lililamba block za kutosha sio hata za kuongea. Kiukweli ujenzi wa sasa ni balaa Bora huko nyuma
Lilifanyika kosa wakati wa uchoraji.Nyumba kali na ya kisasa kama hiyo inakosaje laundry?
Hivi mtu unaenda kuzika over 40ml kwenye nyumba hamna akili ya kuwekeza kwenye mambo mengine? hamna hata aina nzuri ya magari mkanunua? Vijana dunia ni njia epuka kujenga njiani.
Ponda mali kufa kwaja. Usilete ugomvi kisa uliacha nyumba
Mm naona kuna watu wanajitwisha mizigo mizito sn.
jenga simple hamia kwako hata km master and sebule. ..from there extend taratibu kutokana na uwezo unavyokuja. ..unajega shule mwisho unajenga 10yrs na bado hujamaliza naunalipa kodi
Hakuna alieniambia sasa kama una gari zuri jitahidi umiliki ndinga achana na magofu kula maisha aseeeNani kakwambia hatuna magari mazuri [emoji38]
Drewa ni material decorative kutoka uturuki Yana mawe makubwa sisi mafund huwa tunaichanganya na kitu kinachoitwa griter kuongeza kushine unamix griter ya rangi ya silver na grey inakuwa balaa hata camsilver hivohivo pia karibun Kwa finishing Kali za nyumba au tembelea ukurasa wetu Instagram kama highland _decor_solution call& what app 0757735884Nimefikia lenta na kuweka top kozi
Pia nimeweka grill za milango na madirisha (sijapaua)
4 bedroom (2 self,2 kawaida)
Dinning
Sitting room
Store
Kitchen
Public toilet
Tofali 5400
Pesa Hadi Sasa mil 30,000,000/=
Nimeshajengea na shimo la choo
Mwaka huu napaua,bâti zinatakiwa 210
Kuhusu finishing nimeona baadhi ya nyumba wanapiga drewa,mwenye uelewa kuhusu drewa anisaidie nielewe vzr
Fundi naomba nijuze tofauti ya wallputy, white cement na gypsum powder kimatumizi, kigharama na kiubora.Drewa ni material decorative kutoka uturuki Yana mawe makubwa sisi mafund huwa tunaichanganya na kitu kinachoitwa griter kuongeza kushine unamix griter ya rangi ya silver na grey inakuwa balaa hata camsilver hivohivo pia karibun Kwa finishing Kali za nyumba au tembelea ukurasa wetu Instagram kama highland _decor_solution call& what app 0757735884
Wallputty ni bei rahisi na inaokoa gharama sababu coat ya kwanza na ya pili unatumia maji hamna haja ya skiming emulsion kutumia hivyo unoakoa gharama inauzwa 2300Omfuko wa kg 25 ila sio Bora ,white cement ni waterproof both interior & exterior wall inabond Kali ya kushika kwenye plasta Ina 40 kg na unatumia emulsion skiming yani rangi ya kuskimia maana hii unachanganywa na rangi ratio ni mfuko mmoja wa white cement na rangi ndoo moja ya rangi white cement 40000 mfuko ,emulsion 35000 litre 20 kwahyo wallputty ni bei rahisi lakin sio Bora ,white cement ni gharama lakin imaraFundi naomba nijuze tofauti ya wallputy, white cement na gypsum powder kimatumizi, kigharama na kiubora.
Hapo nimekupata mkuu, je white cement inafaa kutumika kuta za ndani, vyumbani? Au ni nje tu?Wallputty ni bei rahisi na inaokoa gharama sababu coat ya kwanza na ya pili unatumia maji hamna haja ya skiming emulsion kutumia hivyo unoakoa gharama inauzwa 2300Omfuko wa kg 25 ila sio Bora ,white cement ni waterproof both interior & exterior wall inabond Kali ya kushika kwenye plasta Ina 40 kg na unatumia emulsion skiming yani rangi ya kuskimia maana hii unachanganywa na rangi ratio ni mfuko mmoja wa white cement na rangi ndoo moja ya rangi white cement 40000 mfuko ,emulsion 35000 litre 20 kwahyo wallputty ni bei rahisi lakin sio Bora ,white cement ni gharama lakin imara
White cement ni multi-purpose inatumika Kwa Kuta za nje na ndani ni nzur Zaid note ni Kuta tu ,ila gypsum powder inatumika kwenye board na unaweza kuitumia kwenye Kuta za ndani tu ukitumia nje yote itatolewa na mvua hivyo inafaaa itumike ndani tu na kwenye gypsum board lakin white cement haichagui ndani Wala nje popote unaitumia Kwa Kuta tu ,gypsum powder nzuri ni ya andika made in Thailand na white cement ni cimsa made in turkeyHapo nimekupata mkuu, je white cement inafaa kutumika kuta za ndani, vyumbani? Au ni nje tu?
Pia kati ya gypsum powder na white cement ipi nzuri kwa kuta za ndani?