Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

Mm naona kuna watu wanajitwisha mizigo mizito sn.
jenga simple hamia kwako hata km master and sebule. ..from there extend taratibu kutokana na uwezo unavyokuja. ..unajega shule mwisho unajenga 10yrs na bado hujamaliza naunalipa kodi
 
Location Dar. Khs hidden roof sifahamu kama anajua kuzijenga japo huwa anachukua tenda za majengo ya serikali
Mkuu location ni mkoa gani?, Pia unaweza kuweka cost za fundi pekee?, je fundi wako ni mtalaam na ana-uzoefu wa kujenga hidden roof kuanzia msingi hadi kuezeka? danymTZ
 
Nimefikia lenta na kuweka top kozi
Pia nimeweka grill za milango na madirisha (sijapaua)
4 bedroom (2 self,2 kawaida)
Dinning
Sitting room
Store
Kitchen
Public toilet
Tofali 5400
Pesa Hadi Sasa mil 30,000,000/=
Nimeshajengea na shimo la choo
Mwaka huu napaua,bâti zinatakiwa 210
Kuhusu finishing nimeona baadhi ya nyumba wanapiga drewa,mwenye uelewa kuhusu drewa anisaidie nielewe vzr
 
Hongera mtaaalam, wish u the best.

Hizo tofali 5400 ni pamoja na fensi au ni nyumba tu?

Pia ina ukubwa wa m² ngapi
 
Hongera sana na wewe pia, mpaka hapo umetumia kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…