Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

Nyumba kali na ya kisasa kama hiyo inakosaje laundry?
 
Hivi mtu unaenda kuzika over 40ml kwenye nyumba hamna akili ya kuwekeza kwenye mambo mengine? hamna hata aina nzuri ya magari mkanunua? Vijana dunia ni njia epuka kujenga njiani.

Ponda mali kufa kwaja. Usilete ugomvi kisa uliacha nyumba
 
Mm naona kuna watu wanajitwisha mizigo mizito sn.
jenga simple hamia kwako hata km master and sebule. ..from there extend taratibu kutokana na uwezo unavyokuja. ..unajega shule mwisho unajenga 10yrs na bado hujamaliza naunalipa kodi

Hivi nyumba kwa wastani inabidi ujenge kwa miaka mingapi?
 
Drewa ni material decorative kutoka uturuki Yana mawe makubwa sisi mafund huwa tunaichanganya na kitu kinachoitwa griter kuongeza kushine unamix griter ya rangi ya silver na grey inakuwa balaa hata camsilver hivohivo pia karibun Kwa finishing Kali za nyumba au tembelea ukurasa wetu Instagram kama highland _decor_solution call& what app 0757735884
 
Fundi naomba nijuze tofauti ya wallputy, white cement na gypsum powder kimatumizi, kigharama na kiubora.
 
Fundi naomba nijuze tofauti ya wallputy, white cement na gypsum powder kimatumizi, kigharama na kiubora.
Wallputty ni bei rahisi na inaokoa gharama sababu coat ya kwanza na ya pili unatumia maji hamna haja ya skiming emulsion kutumia hivyo unoakoa gharama inauzwa 2300Omfuko wa kg 25 ila sio Bora ,white cement ni waterproof both interior & exterior wall inabond Kali ya kushika kwenye plasta Ina 40 kg na unatumia emulsion skiming yani rangi ya kuskimia maana hii unachanganywa na rangi ratio ni mfuko mmoja wa white cement na rangi ndoo moja ya rangi white cement 40000 mfuko ,emulsion 35000 litre 20 kwahyo wallputty ni bei rahisi lakin sio Bora ,white cement ni gharama lakin imara
 
Hapo nimekupata mkuu, je white cement inafaa kutumika kuta za ndani, vyumbani? Au ni nje tu?

Pia kati ya gypsum powder na white cement ipi nzuri kwa kuta za ndani?
 
Hapo nimekupata mkuu, je white cement inafaa kutumika kuta za ndani, vyumbani? Au ni nje tu?

Pia kati ya gypsum powder na white cement ipi nzuri kwa kuta za ndani?
White cement ni multi-purpose inatumika Kwa Kuta za nje na ndani ni nzur Zaid note ni Kuta tu ,ila gypsum powder inatumika kwenye board na unaweza kuitumia kwenye Kuta za ndani tu ukitumia nje yote itatolewa na mvua hivyo inafaaa itumike ndani tu na kwenye gypsum board lakin white cement haichagui ndani Wala nje popote unaitumia Kwa Kuta tu ,gypsum powder nzuri ni ya andika made in Thailand na white cement ni cimsa made in turkey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…