Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ustadhi jifunze kusoma makala kabla kujibu.....
The blast is believed to have hit the main gas pipeline belonging to Gazprom Transgaz SPB, and could have potentially impacted up to one million people.
Soma heading basi.Hakuna anayeichukia dini yenu hiyo, vituko vyenu tu...
Halafu hamna sehemu nimesema wamekosa gesi...
Mimi siyo muislamu na siendekezi mijadala ya Religious Bulying mzee...Hakuna anayeichukia dini yenu hiyo, vituko vyenu tu...
Halafu hamna sehemu nimesema wamekosa gesi...
kama ni baridi basi tuisikie wote.NATO watakuwa wamejib mapigo baada ya Poland kushambuliwa ingawa kwa sasa hawawezi sema.
Wavaa kobazi wapo pamoja na urusi bega kwa bega.Hivi kiongozi Waislamu wapo pamoja na Russia kwani?!!!!! Maana katika hoja zako hukomi kutoa maneno fulani yenye viashiria vya kuisakama hiyo dini. Au we ndo walewale?!!!
Mijitu ya hovyo sana hiyoSijakutana hata na mmoja kati yenu hamshabikii Putin, amekua kama mtume kwenu, eti kisa mnadhani mnakomoa Marekani.
However, the major blast did not hit close to residential areas, and there are no initial reports of casualties coming out of Russia.Hili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream".
Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako tayari kulipa mapigo, na wapo tayari kufika kwenye kiwango hakijashuhudiwa tena, kama vipi ageuze mapema, aache uvamizi kwenye nchi ya watu, kiburi hakitamsaidia kitu ila ataendelea kutesa Warusi.
=====================
Massive explosion hits Russian Gazprom gas pipeline amid suspicions of sabotage linked to Putin's war on Ukraine
- Enormous explosion hit one of Russia's major gas pipelines, sending flames and smoke billowing into the sky
- There are fears it may be a 'tit-for-tat' after traces of explosives were found at the site of the Nord Stream blast
- The fireball was visible for miles in every direction today after hitting about 14 miles east of St Petersburg
- Swedish prosecutor claimed sabotage was the cause of the Nord Stream pipeline blasts of September 26
An enormous explosion has hit one of Russia's major gas pipelines, sending flames and smoke billowing into the sky above and prompting fears it was a retribution attack for Vladimir Putin's continued invasion of Ukraine.
The fireball was visible for miles in every direction after hitting about 14 miles east of St Petersburg, the nation's second largest city and Putin's hometown.
One source said: 'Everything is automatic there, and such explosions by themselves, without external influence, are impossible.'
Explosion hits Russian gas pipeline amid suspicions of sabotage
The fireball was visible for miles in every direction after hitting about 14 miles east of St Petersburg, the nation's second largest city and Putin's hometown.www.dailymail.co.uk
However, the major blast did not hit close to residential areas, and there are no initial reports of casualties coming out of Russia.
Dah! Mwamba unanifurahisha unavyonyanyuka nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wape dochi zao watulize mishono.Hakuna anayeichukia dini yenu hiyo, vituko vyenu tu...
Halafu hamna sehemu nimesema wamekosa gesi...
Alaa, kumbe nyie ndo wale wa upinde wa mvua!! Nafunga kinywa changu sasa!Mijitu ya hovyo sana hiyo
militaryNakuhurumia sana wewe ni kama mgonjwa wa tb anaumwa anasema haumwi anaendelea kuvuta sigara unaokota habari youtube za propaganda labda wazalamo was tandale ndio wanakuelewa.
Hii habari ndio inawaumiza sana
Mzozo wa Ukraine: Raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulizi mapya ya Urusi
View attachment 2422730
geCopyright: ge
Theluji imeanguka nchini Ukraine ambapo baadhi ya watu hawawezi kupasha moto nyumba zao kutokana na mashambulio ya vituo vya nishati.Image caption: Theluji imeanguka nchini Ukraine ambapo baadhi ya watu hawawezi kupasha moto nyumba zao kutokana na mashambulio ya vituo vya nishati.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulio mapya ya makombora yaliyofanywa na Urusi.
Kutokuwa sawa na wewe kiimani ndo nakuwa wa upinde wa mvua? Zenj hapo kulivyojaa ushoga nao ni wa upinde wa mvua?Alaa, kumbe nyie ndo wale wa upinde wa mvua!! Nafunga kinywa changu sasa!
Watu milioni 1 katika watu milioni 150.hata asilimia 1 haijafika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Ukraine ni zaidi ya asilimia 90 awana gesi.sasa hapo nani inabidi asitishe vita ?Hili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream".
Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako tayari kulipa mapigo, na wapo tayari kufika kwenye kiwango hakijashuhudiwa tena, kama vipi ageuze mapema, aache uvamizi kwenye nchi ya watu, kiburi hakitamsaidia kitu ila ataendelea kutesa Warusi.
=====================
Massive explosion hits Russian Gazprom gas pipeline amid suspicions of sabotage linked to Putin's war on Ukraine
- Enormous explosion hit one of Russia's major gas pipelines, sending flames and smoke billowing into the sky
- There are fears it may be a 'tit-for-tat' after traces of explosives were found at the site of the Nord Stream blast
- The fireball was visible for miles in every direction today after hitting about 14 miles east of St Petersburg
- Swedish prosecutor claimed sabotage was the cause of the Nord Stream pipeline blasts of September 26
An enormous explosion has hit one of Russia's major gas pipelines, sending flames and smoke billowing into the sky above and prompting fears it was a retribution attack for Vladimir Putin's continued invasion of Ukraine.
The fireball was visible for miles in every direction after hitting about 14 miles east of St Petersburg, the nation's second largest city and Putin's hometown.
One source said: 'Everything is automatic there, and such explosions by themselves, without external influence, are impossible.'
Explosion hits Russian gas pipeline amid suspicions of sabotage
The fireball was visible for miles in every direction after hitting about 14 miles east of St Petersburg, the nation's second largest city and Putin's hometown.www.dailymail.co.uk
Wala sio swala la imani, usipotoshe.....ni suala la uongeaji wenu we na huyo mwenzio ndiyo linalotaka kutuhitimishia hivyo. Hebu tuhitimishe kwa kuleta picha na hata threads za ushahidi wa upinde wa mvua, km upo tayari ili tujue haswa ni wapi huko kiakili kunaweza kusemwa kuko vema hadi kufikia KURASIMISHWA!Kutokuwa sawa na wewe kiimani ndo nakuwa wa upinde wa mvua? Zenj hapo kulivyojaa ushoga nao ni wa upinde wa mvua?
ulikubaliana na nan ?Purely propaganda from the western countries mediae.
Afu si tulikubaliana kuwa PUT IN mwisho wake ulishakaribia na RUSSIA itakuwa majivu, mbona bado tu anadunda hadi sasa [emoji848][emoji16]
Akili, akili, akili...[emoji124]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Putin haez fika hata Crimea [emoji23][emoji23]Maustadhi mnachanganya madesa, Putin alimpa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine, nashangaa kibao kimegeuzwa leo tunajadili udundaji wa Putin kitaa, ha ha ha!!
Halafu unaposema ni propaganda, haya soma taarifa kutoka kwa TASS ya Urusi, au usipoamini hii nitakuletea ya Waarab https://tass.com/emergencies/1539371
Alafu bomba likilipuka sio inshu maana unatoa kipande unaweka bomba jipya.wiki moja tu inatosha kufanyika iyo kazi.inshu kubwa ukikatiwa gesi yenyewe basi hapo kifo unakiona kipo karibu yakoHili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream".