Unalialia nini? Hujaalikwa? Leo saa sita. Live na Mc Mipasho, JPM mwenyewe. Bombadier hoooyeee. ATCL tupo hatupo? 😀😀😀😀😀 Vituko vya waswahili bana.wacha ushambenga mtoto wa kiume
Naona lugha imebadilikaWatu wa kujipiga kifua kabla ya project kuanzishwa. Bagamoyo iko wapi? Leo ni siku ya ajabu sana kwangu . Kuna ndege inayotegewa kuwasili leo na Nchi nzima yani Live on TV.
Kiraza mwingine.Hivi kutoka canada hadi Dar ni masaa mangapi. Mbona haifiki
Kiraza mwingine.Hivi kutoka canada hadi Dar ni masaa mangapi. Mbona haifiki
Kiraza mwingine.
Message sentHata kiswahili hujui
Unalialia nini? Hujaalikwa? Leo saa sita. Live na Mc Mipasho, JPM mwenyewe. Bombadier hoooyeee. ATCL tupo hatupo? 😀😀😀😀😀 Vituko vya waswahili bana.
😀😀😀😀😀 Leo watabugia wanzuki hadi walale kwenye mitaro. Deni limelipwa hoyeeeee!hehehe,kadege kamoja kasimamisha nchi nzima,hawa jamaa ni vilaza kweli😀
Anzisha uzi jombaa tunataka live updates. 😀
Tanzania is an LDC. Kwani wewe unaishi chini ya mawe gani? Huna habari? Ati a small country like Kenya. Ati we need systems kama za U.S.A. Unadhani U.S.A ni uncle yako?Tanzania is biggest country not like your a tiny country kenya @ Kenyan radar can't protect our sky # Tanzania need high quality radar the same as USA or Brazil
kenya is tiny country it is the same size as my njombe district in the south highlands part of TanzaniaTanzania is an LDC. Kwani wewe unaishi chini ya mawe gani? Huna habari? Ati a small country like Kenya. Ati we need systems kama za U.S.A. Unadhani U.S.A ni uncle yako?
Andaa Karamu sicialite , Hii ni siku kuu nakwambia.At last our plane landed at home.
Bravo my country TANZANIA
Bravo my President JPM
Bravo out flag carrier ATC
Andaa Karamu sicialite , Hii ni siku kuu nakwambia.