Bombardier iliyokuwa imeshikwa imeanza safari kutokea Canada to Tanzania.

Watu wa kujipiga kifua kabla ya project kuanzishwa. Bagamoyo iko wapi? Leo ni siku ya ajabu sana kwangu . Kuna ndege inayotegewa kuwasili leo na Nchi nzima yani Live on TV.
 
wacha ushambenga mtoto wa kiume
Unalialia nini? Hujaalikwa? Leo saa sita. Live na Mc Mipasho, JPM mwenyewe. Bombadier hoooyeee. ATCL tupo hatupo? 😀😀😀😀😀 Vituko vya waswahili bana.
 
Watu wa kujipiga kifua kabla ya project kuanzishwa. Bagamoyo iko wapi? Leo ni siku ya ajabu sana kwangu . Kuna ndege inayotegewa kuwasili leo na Nchi nzima yani Live on TV.
Naona lugha imebadilika
Endelea kuuliza mbona haifiki.
 
Hivi kutoka canada hadi Dar ni masaa mangapi. Mbona haifiki
 
hehehe,kadege kamoja kasimamisha nchi nzima,hawa jamaa ni vilaza kweli😀

Unalialia nini? Hujaalikwa? Leo saa sita. Live na Mc Mipasho, JPM mwenyewe. Bombadier hoooyeee. ATCL tupo hatupo? 😀😀😀😀😀 Vituko vya waswahili bana.
 
Tanzania is biggest country not like your a tiny country kenya @ Kenyan radar can't protect our sky # Tanzania need high quality radar the same as USA or Brazil
Tanzania is an LDC. Kwani wewe unaishi chini ya mawe gani? Huna habari? Ati a small country like Kenya. Ati we need systems kama za U.S.A. Unadhani U.S.A ni uncle yako?
 
kenya is tiny country it is the same size as my njombe district in the south highlands part of Tanzania
 
At last our plane landed at home.

Bravo my country TANZANIA
Bravo my President JPM
Bravo out flag carrier ATC
 
Back
Top Bottom