Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

Hii nchi ya ajabu sana fikiria sasa ndo imejaa Misukule kule Mjengoni. Je, unategemea nn hapo?

Mkuu wa Kaya naye ndo hamnazo kabaki kupenda misifa ya kilimbukeni huku Taifa likizama shimoni !!

Kama yuko serious anapaswa ku-deal na maafisa wote wa ATCL kwenye hili sakata la SSC na NAMUNGO FC...
 
Ndo maana Tanzania kumteua Waziri Kwa kigezo cha elimu ni ulimbukeni kwani wengi wana-vyeti vingiii lakini kichwani watupu....
 
Angekuwa Diamond anataka kukodi angepewa!!! Mo ulishiriki kampeni za ushindi wa CCM ?
 
Kweli nyie timu ya Mwamedi. Ni kama mwekezaji wa jengo ambaye hela haweki, kazi kupiga rangi tu.
Simba ni moja ya klabu kubwa Afrika, mambo ya hela usiulize, mshahara wa Chama wa miezi 4 tunalipa ndege hiyo.
nina wasiwasi wewe utakuwa afisa wa ATCL unatafuta pa kujishikiza.
 
Zinakwenda Mumbai, hapo tumemaliza kila kitu sawa na kuchukua kombe la dunia[emoji34]
 
wananchi wenye hii nchi hatuwezi kubali ' magabacholi' wakodi ndege zetu ukizingatia wanakwenda kuitia aibu nchi kwa kubugizwa si chini ya goli 6 bila, waende huko huko kwa washindani wetu Kenya labda watapata usaidizi, na tena watakapo bugizwa hizo goli 6 bila za usiku wasiseme kabisa kuwa wanatoka Tz, waseme wao ni wakenya….
 
Kama Ni Kweli Basi Hili Jambo
Aione: Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Msemaji Wa Serikali
Engineer Matindi ATCL
Msemaji Wa ATCL
 
Ukute ndege sio nzima.kwani umesahau abiria wanavyocheleweshwa airpot na siku nyingine kusitisha safari hadi siku inayo fata?
 
Hiki kitendo cha SIMBA kutumia Ndege ya washindani wetu kimaendeleoa badala ya DREAMLINER yetu ambayo ipo chini ya Ofisi Kuu kabisa katika Nchi yetu sio cha kizalendo hata kidogo, Manager wa Simba alipaswa kukodisha BOMBADIER 1 iliyoandikwa HAPA KAZI TU ili kutangaza sera nzuri za Nchi yetu.

Tunalitaka Bunge lijalo lijadili kwa kina namna gani ya kuimarisha Utendaji wa shirika letu la ndege kwa kuanza na soko la Ndani kabla ya kwenda kushindana na EMIRATES, ETHIOPIAN AIRLINES, QATAR AIRWAYS,FLY EMIRATES nk

Kwa kuwas WAPINZANI ndio walikuwa wanachelewesha Maendeleo, sasa ni wakati wa KUPAA na Ndege zetu na sio kuanza kulia lia tena
,

NB: Rais wetu anatakiwa kujua kuwa kuna BLOCKS 2 tayari zimeanza mbio za 2025 na wamejipanga kuzitumia TIMU za Mpira na Kundi la Wasanii ambao Wabunge wapya waliopenya juzi juzi hapa wenye uhusiano na industry za sanaa na Mziki wameanza kuandaa plan zao za 2025
 
Wewe utopolo unafikiri kukodi dreamliner kwa ajili ya wachezaji 30 ni kama unakodi Bus la Ngorika eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…