Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,950
Usikurupuke kujibu kabla ya kusoma kwanza...Waulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikurupuke kujibu kabla ya kusoma kwanza...Waulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
Simba hawakutaka kukodi!Usikurupuke kujibu kabla ya kusoma kwanza...
Hii nchi ya ajabu sana fikiria sasa ndo imejaa Misukule kule Mjengoni. Je, unategemea nn hapo?Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.
Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
Ndo maana Tanzania kumteua Waziri Kwa kigezo cha elimu ni ulimbukeni kwani wengi wana-vyeti vingiii lakini kichwani watupu....Naam, ana kitu cha ziada, ni kama Shigongo ambaye ni muandishi nguli lakini ni LASABA , wakati tuna maprofessa wa jalalani hawana mchango kwa taifa isipokuwa kuleta mitafaruku na migogoro ya kidiplomasia kila uchao.
Note:shigo ngo amepata shahada ya kwanza juma hili chuo cha Kilutheri Dar es salaam.
Hii kwa vyovyote ni akili ilohusika na wizi wa kura...Mkuu tambua atcl sio shirika la ndege la Mwamedi, haliwezi endeshwa Kama mnavyoendeshwa nyinyi
Simba ni moja ya klabu kubwa Afrika, mambo ya hela usiulize, mshahara wa Chama wa miezi 4 tunalipa ndege hiyo.
nina wasiwasi wewe utakuwa afisa wa ATCL unatafuta pa kujishikiza.
Soma andiko lote MkuuWaulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
Zinakwenda Mumbai, hapo tumemaliza kila kitu sawa na kuchukua kombe la dunia[emoji34]Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.
Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
Simba walienda kuomba siyo kukodi ndege!Soma andiko lote Mkuu
kwani hizo za Kenya zimeendaje na wakalipishwa bei gani?Bombadier haina uwezo wakufly Tz to Lagos ila BOEING 787-8 ambayo inabeba watu zaid ya 200 imebebe watu 20 kwenda Lagos mtalipishwa bei gan?
Ukute ndege sio nzima.kwani umesahau abiria wanavyocheleweshwa airpot na siku nyingine kusitisha safari hadi siku inayo fata?Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.
Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
Makonda ni strategist mzuli sana kuliko unavyoweza kufikiri.....makonda huyu-huyu?
weka hapa strategies zake zilizozaa matunda.Makonda bni stategist mzuli sana kuliko unavyoweza kufikiri.....
hicho kipawa anacho.....
mengine yote namkataa
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
Kuhamasishaweka hapa strategies zake zilizozaa matunda.