Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

PR wa ATCL ndio unajibu ki-sekondari namna hii?

NDEGE iliyokwenda Madagaska kuchukua juisi ya Fruto tukaambiwa ni dawa ya Korona inakuja kujaribiwa nani alilipa?
Simba inawakilisha nchi na siyo msimbazi pekee, naona level yako ya uelewa wa mambo ya kimataifa bado ipo low sana.
Kutumia ATCL kwenda nigeria ingekuwa ni mojawapo ya advertisement kubwa, sijui tunakwama wapi, lishe? ujinga mahaba ya vyama!!!!
Mbona wewe dada ni mjinga kiasi hiki?

Sasa kama Simba inaenda kuwakilisha nchi ukitaka wapewe ndege ya ATCL ama hoja yako ni ipi sasa?
 
Dogo uelewa wako zero. Ndege iliyokwenda Madascar ni ndege ya Rais Gulfstream sasa sijui inahusiana nini na ATCL? Tuletee taarifa rasmi ya Simba kuwa wameamua kusafiri na KQ baada ya kukataliwa kukodi ndege ya ATCL. Ajabu wamesafiri kwa kutumia scheduled flight huku wakitaka charter flight kutoka ATCL. Acha siasa maana issue ni uwezo wa kulipa, na mimi siko ATCL ila naangalia kwa macho mawili.
Mkuu huyo dada mleta mada ni kiazi bado ana mawenge ya Lisu kupigwa kwenye box la kura
 
Wampe tu hata Makonda hiyo kazi ya ku-brand ATCL , kweli sisi ni wa kutumia mandege ya washindani wetu wakati tunazo za kwetu zimepaki na kutu zimeanza?
Mkuu ina maana ndege zetu zimepaki? Kwani hazipigi route? Kwa nini zimepaki?
 
Nani alikwambia Babra ndio pisi kali kushinda wote Tanzania, unaweza kuwa na hoja ya msingi ila umechanganya na upuuzi.
Cha ajabu mleta mada mwenyewe ni demu na anasema yeye ni mbaya tu mbele ya huyo babra
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wa tz shida kweli
 
Mbona wewe dada ni mjinga kiasi hiki?

Sasa kama Simba inaenda kuwakilisha nchi ukitaka wapewe ndege ya ATCL ama hoja yako ni ipi sasa?
Tatizo umeamkia kwenye sebule ya wakwe zako ndio maana umekurupuka kuandika usichojua.
Nimesema Simba kupitia mrembo kuliko weote Tanzania Barbara waliomba ATCL- KUIKODISHA na hawakujibiwa mpaka wakaamua ktumia za nchi jirani
 
Mleta mada ni mjinga!
Kukodi ATCL ilikuwa ni hali ya uzalendo na kuboresha mapato ya Taifa , ni ghali kukodi kulikokulipa kama abiria wengine.
Simba wanaweza kusafiri na abiria wengine , of which ndiyo leo wanafanya hivyo kutokea huko Moshi -Kilimanjaro, mkoa tulio utenga kimaendeleo
 
Wewe dada ni mjinga!

Walipokataliwa wakakodi ya Kenya? Ni wapi uthibitissho wa haya madai yako. Nyie wanawake wengine mbona akili zenu mbovu sana?
 
Kukodi ATCL ilikuwa ni hali ya uzalendo na kuboresha mapato ya Taifa , ni ghali kukodi kulikokulipa kama abiria wengine.
Simba wanaweza kusafiri na abiria wengine , of which ndiyo leo wanafanya hivyo kutokea huko Moshi -Kilimanjaro, mkoa tulio utenga kimaendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe tunajibishana na taahira!
Kwa heri
 
Huku Katavi hatutaki vilaza na maselule, waje watu aggressive na wanajitambua, karibuni niko hapa Digital club nakula bata [emoji482] [emoji485], kuna pisi kali balaaa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe tunajibishana na taahira!
Kwa heri
Mda wa kutumwa sokoni na wakwe zako umefika unaongopea "eti kwaherini" haya , nenda soko la Majengo hapo vitu ni bei rahisi
 
Tatizo umeamkia kwenye sebule ya wakwe zako ndio maana umekurupuka kuandika usichojua.
Nimesema Simba kupitia mrembo kuliko weote Tanzania Barbara waliomba ATCL- KUIKODISHA na hawakujibiwa mpaka wakaamua ktumia za nchi jirani
Acha uongo lete taarifa rasmi ya Simba kuwa walinyimwa ndege. Au waliomba ya bure
 
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.

Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.

Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?

Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.

inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.

C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.

Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.

Mungu ibariki simba ishinde 2-0.

MITANO TENA ,KAZI IENDELEE.
 
Back
Top Bottom