Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
lakini mliweza kupeleka ndege kufuata ile Alkasusu ya Madagascar.Kukodi ndege ni tofauti na kukata tiketi bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini mliweza kupeleka ndege kufuata ile Alkasusu ya Madagascar.Kukodi ndege ni tofauti na kukata tiketi bwashee!
Mbona wewe dada ni mjinga kiasi hiki?PR wa ATCL ndio unajibu ki-sekondari namna hii?
NDEGE iliyokwenda Madagaska kuchukua juisi ya Fruto tukaambiwa ni dawa ya Korona inakuja kujaribiwa nani alilipa?
Simba inawakilisha nchi na siyo msimbazi pekee, naona level yako ya uelewa wa mambo ya kimataifa bado ipo low sana.
Kutumia ATCL kwenda nigeria ingekuwa ni mojawapo ya advertisement kubwa, sijui tunakwama wapi, lishe? ujinga mahaba ya vyama!!!!
Mleta mada ni mjinga!Lakini kweli kama Simba walikataliwa kukodi na ATCL kwanini wasingeenda kukodi Kenya Airways?
Mkuu huyo dada mleta mada ni kiazi bado ana mawenge ya Lisu kupigwa kwenye box la kuraDogo uelewa wako zero. Ndege iliyokwenda Madascar ni ndege ya Rais Gulfstream sasa sijui inahusiana nini na ATCL? Tuletee taarifa rasmi ya Simba kuwa wameamua kusafiri na KQ baada ya kukataliwa kukodi ndege ya ATCL. Ajabu wamesafiri kwa kutumia scheduled flight huku wakitaka charter flight kutoka ATCL. Acha siasa maana issue ni uwezo wa kulipa, na mimi siko ATCL ila naangalia kwa macho mawili.
Mkuu ina maana ndege zetu zimepaki? Kwani hazipigi route? Kwa nini zimepaki?Wampe tu hata Makonda hiyo kazi ya ku-brand ATCL , kweli sisi ni wa kutumia mandege ya washindani wetu wakati tunazo za kwetu zimepaki na kutu zimeanza?
Cha ajabu mleta mada mwenyewe ni demu na anasema yeye ni mbaya tu mbele ya huyo babraNani alikwambia Babra ndio pisi kali kushinda wote Tanzania, unaweza kuwa na hoja ya msingi ila umechanganya na upuuzi.
Tatizo umeamkia kwenye sebule ya wakwe zako ndio maana umekurupuka kuandika usichojua.Mbona wewe dada ni mjinga kiasi hiki?
Sasa kama Simba inaenda kuwakilisha nchi ukitaka wapewe ndege ya ATCL ama hoja yako ni ipi sasa?
Ile ilimsaidia hadi mtoto wa mwenyekiti wa Ufipa!lakini mliweza kupeleka ndege kufuata ile Alkasusu ya Madagascar.
Wampe tu hata Makonda hiyo kazi ya ku-brand ATCL , kweli sisi ni wa kutumia mandege ya washindani wetu wakati tunazo za kwetu zimepaki na kutu zimeanza?
Kukodi ATCL ilikuwa ni hali ya uzalendo na kuboresha mapato ya Taifa , ni ghali kukodi kulikokulipa kama abiria wengine.Mleta mada ni mjinga!
whats your M-Fkn point?Ndege sio daladala
Wewe dada ni mjinga!Tatizo umeamkia kwenye sebule ya wakwe zako ndio maana umekurupuka kuandika usichojua.
Nimesema Simba kupitia mrembo kuliko weote Tanzania Barbara waliomba ATCL- KUIKODISHA na hawakujibiwa mpaka wakaamua ktumia za nchi jirani
Kitenge anawekwa mjini na Sports pesa, anakula matunda ya kazi yake, kongole kwake.Sio Maulid Kitenge??...maana kila baada ya wiki 2 anakua angani....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe tunajibishana na taahira!Kukodi ATCL ilikuwa ni hali ya uzalendo na kuboresha mapato ya Taifa , ni ghali kukodi kulikokulipa kama abiria wengine.
Simba wanaweza kusafiri na abiria wengine , of which ndiyo leo wanafanya hivyo kutokea huko Moshi -Kilimanjaro, mkoa tulio utenga kimaendeleo
Mda wa kutumwa sokoni na wakwe zako umefika unaongopea "eti kwaherini" haya , nenda soko la Majengo hapo vitu ni bei rahisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe tunajibishana na taahira!
Kwa heri
Acha uongo lete taarifa rasmi ya Simba kuwa walinyimwa ndege. Au waliomba ya bureTatizo umeamkia kwenye sebule ya wakwe zako ndio maana umekurupuka kuandika usichojua.
Nimesema Simba kupitia mrembo kuliko weote Tanzania Barbara waliomba ATCL- KUIKODISHA na hawakujibiwa mpaka wakaamua ktumia za nchi jirani
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
simba iombe bure?Acha uongo lete taarifa rasmi ya Simba kuwa walinyimwa ndege. Au waliomba ya bure