Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

Hawa wafanyabiashara wasio na maeneo rasmi siku zote hawaamini kama maisha yamebadilika, mkipelekwa sehemu rasmi hamtaki mfano Samora kwa Iringa wao wanataka kujipangia sehemu za kufanyia biashara asa hao watu wamipango mini wawe wanapanga nini kama ninyi mnataka kujipangia maisha? Tujifunze kuishi kulingana na nyakati, tukubali mabadiliko Iringa imekua saivi kuona mabanda ya mbao kati kati ya mji ishapitwa na wakati hiyo, nendeni Samora watu watajitune tu na tutakuja kuwaungisha
 
Back
Top Bottom