Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Ili. Ukihusianisha na mada tajwa hapo juuTujitahidi kutafuta Pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili. Ukihusianisha na mada tajwa hapo juuTujitahidi kutafuta Pesa
Komenti ya mlamba asali kwa shemeji yakeHii nchi watu wamezoea kufanya mambo kimagumashi. Japo serikali inabeba lawama kwa kutosimamia sheria na baadae kukurupuka lakini wananchi nao wamezoea kufanya mambo kienyeji. Bora wabomoe ili wapate akili.
Kwa hali ya uchumi ya nchi yetu hili ni jambo la kufikirika zaidi. Nchi zilizoendelea kuna makampuni mengi ambayo hufanya hii kazi ya kujenga na kuuza. Watu wengi hawajengi nyumba wenyewe na hawanunui cash kwa mara moja bali wanalipia kidogo kidogo. Mashirika kama ya NSSF ndiyo yalitakiwa kufanya. Pia halmashauri za miji na majiji zingeweza kujenga na kupangisha bei nafuu au kuuza kwa bei nafuu. Uchumi wetu (wananchi) unaruhusu?Serikali ijenge nyumba za bei na nafuu iwauzie wananchi walipe kdg kdg hata kwa miaka 20, mbona wamepewa pesa na mwarabu wameweza kule Tanga?
Laiti ungejua mimi ni ''adui'' namba moja wa hii serikali ya hovyo kabisa. Wacha watu wabomolewe ili akili ziwakae vizuri wajue kuiwajibisha serikali yao na siyo kukimbilia ushabiki wa mambo ya kijinga kama muziki.Komenti ya mlamba asali kwa shemeji yake
Mbona Msomera wameweza?Kwa hali ya uchumi ya nchi yetu hili ni jambo la kufikirika zaidi. Nchi zilizoendelea kuna makampuni mengi ambayo hufanya hii kazi ya kujenga na kuuza. Watu wengi hawajengi nyumba wenyewe na hawanunui cash kwa mara moja bali wanalipia kidogo kidogo. Mashirika kama ya NSSF ndiyo yalitakiwa kufanya. Pia halmashauri za miji na majiji zingeweza kujenga na kupangisha bei nafuu au kuuza kwa bei nafuu. Uchumi wetu (wananchi) unaruhusu?
Waliambiwa toka muda eneo hilo waache kuvamia, Eti wakaanza kujenga vijumba vidogovidogo wakipima upepo serikali kuwa baadae italegeza, naona serikali imeamua kubomoa.Ni kweli hawajawai kupewa taarifa? Hii Nchi kila mtu ni muongo muongo
Ni ubinafsi na rushwa tupu, serikali inashindwa nini kutenga kila mwaka hata bilioni 100 kujenga nyumba za bei nafuu kila mwaka? nyumba za milioni 20 ni sawa na nyumba mia 500 kila mwakaKwa hali ya uchumi ya nchi yetu hili ni jambo la kufikirika zaidi. Nchi zilizoendelea kuna makampuni mengi ambayo hufanya hii kazi ya kujenga na kuuza. Watu wengi hawajengi nyumba wenyewe na hawanunui cash kwa mara moja bali wanalipia kidogo kidogo. Mashirika kama ya NSSF ndiyo yalitakiwa kufanya. Pia halmashauri za miji na majiji zingeweza kujenga na kupangisha bei nafuu au kuuza kwa bei nafuu. Uchumi wetu (wananchi) unaruhusu?
Wakati wananchi wanajenga nyie mlikuwa wapi kuwazuia?Waliambiwa toka muda eneo hilo waache kuvamia, Eti wakaanza kujenga vijumba vidogovidogo wakipima upepo serikali kuwa baadae italegeza, naona serikali imeamua kubomoa.
Anyway eneo lenyewe zuri sana lipo karibu na msitu wa Pande. Kadri muda unaenda eneo hilo linakuwa hot cake maana patakuwa moja ya maeneo machache ya Dar ambako nyumba zitakuwa zimepakana na msitu, kumetulia kama mkoani, siku hizi viwanja vinapimwa vikubwa kubwa naona matajiri washa anza kujenga huko
Waliwazuia, kila mtu wa kule anafahamu kuwa eneo hilo limevamiwa sio jambo jipya. Kwanza walikuwa wanasogelea hadi karibu na msitu, walianza mambo yao baada ya serikali kugawa ardhi bure kwa wahanga wa mafuriko jangwani miaka hiyo zamaniWakati wananchi wanajenga nyie mlikuwa wapi kuwazuia?
Hizo nyumba za matajiri hazikuvamia?Waliwazuia, kila mtu wa kule anafahamu kuwa eneo hilo limevamiwa sio jambo jipya. Kwanza walikuwa wanasogelea hadi karibu na msitu, walianza mambo yao baada ya serikali kugawa ardhi bure kwa wahanga wa mafuriko jangwani miaka hiyo zamani
Hapo wakatokea wavamizi na kuanza kujenga maeneo ya hapo bila taratibu, vijumba vidogo vidogo, chumba kimoja kimoja ama viwili, makusudi, wakijua hawaruhusiwi kwa imani kuwa serikali haitoweza kuwatimua wakijaa wengi
Una akili nyingi sanaKwa hali ya uchumi ya nchi yetu hili ni jambo la kufikirika zaidi. Nchi zilizoendelea kuna makampuni mengi ambayo hufanya hii kazi ya kujenga na kuuza. Watu wengi hawajengi nyumba wenyewe na hawanunui cash kwa mara moja bali wanalipia kidogo kidogo. Mashirika kama ya NSSF ndiyo yalitakiwa kufanya. Pia halmashauri za miji na majiji zingeweza kujenga na kupangisha bei nafuu au kuuza kwa bei nafuu. Uchumi wetu (wananchi) unaruhusu?
Hizo zinajengwa siku hizi, baada ya manispaa kuanza kupima hukoHizo nyumba za matajiri hazikuvamia?
Hapo hukosi viongozi wa CCMWaliwazuia, kila mtu wa kule anafahamu kuwa eneo hilo limevamiwa sio jambo jipya. Kwanza walikuwa wanasogelea hadi karibu na msitu, walianza mambo yao baada ya serikali kugawa ardhi bure kwa wahanga wa mafuriko jangwani miaka hiyo zamani
Hapo wakatokea wavamizi na kuanza kujenga maeneo ya hapo bila taratibu, vijumba vidogo vidogo, chumba kimoja kimoja ama viwili, makusudi, wakijua hawaruhusiwi kwa imani kuwa serikali haitoweza kuwatimua wakijaa wengi
Inawezekana sanaKwa hali ya uchumi ya nchi yetu hili ni jambo la kufikirika zaidi. Nchi zilizoendelea kuna makampuni mengi ambayo hufanya hii kazi ya kujenga na kuuza. Watu wengi hawajengi nyumba wenyewe na hawanunui cash kwa mara moja bali wanalipia kidogo kidogo. Mashirika kama ya NSSF ndiyo yalitakiwa kufanya. Pia halmashauri za miji na majiji zingeweza kujenga na kupangisha bei nafuu au kuuza kwa bei nafuu. Uchumi wetu (wananchi) unaruhusu?
Huna akiliHizo zinajengwa siku hizi, baada ya manispaa kuanza kupima huko
Sasa kwani mimi ndio nimeagiza zibomolewe, nasema kile kilichopoHuna akili
Na huko wanajenga barabara piaKama jiwe alivyowavunjia wakazi wa kimara