JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,758
- 2,770
Kwanini hawakujumuishwa wote kwenye kupimiwa na kuuziwa? Au waliobomolewa walikataa?Walioachwa ni kuwa wanahitajika kupimiwa na kuuziwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hawakujumuishwa wote kwenye kupimiwa na kuuziwa? Au waliobomolewa walikataa?Walioachwa ni kuwa wanahitajika kupimiwa na kuuziwa
Inasikitisha sanaKwanini hawakujumuishwa wote kwenye kupimiwa na kuuziwa? Au waliobomolewa walikataa?
Kimara ulitaka hiyo barabar ipite juu ya nyumba zao? Kimara nyumba za matajiri ziliachwa?
Mwanza imefanyaje?Mwanza vipi? Au umeona Kimara tu?
Ila yule jamaa aliyesema haya maneno huku wananchi wa Kimara wakiwa na maumivu makubwa ya kubomolewa nyumba zao iliumiza sana. Lihimidiwe jina la Mungu wetu.Hata Mwanza hawakubomolewa kwasababu walimpigia kura Jiwe.
Kweli kabisa aisee!!Jamaa ana bidii sana ya kuponda kila kinachofanywa na serikali kipindi hiki, wakati kipindi kile alikuwa anasifia kila kitu na kufikia kusema wanaoisema serikali ile ni aidha wapinzani, mafisadi, waliotumbuliwa kwa vyeti feki na wengineo. Nadhani alikuwa mnufaika na sasa hanufaiki.
Ni ubaguzi mkubwa sanaHuku ndiko alipochomewa nyumba mwenyekiti serikali ya mtaa, Nina ndugu wamekumbwa na huu mkasa inasikitisha sana unaambiwa nyumba kuu kuu zimeachwa nyumba za maskini ndizo zilizobomolewa.
Alafu unasikia watu wakidai Tanzania ni nchi ya aman, amani ipi ambayo wananchi wake wanateseka kiasi hichi?
Huna akiliMatajiri hawajengi barabarani
Wana Hati hao wananchi ama nyaraka halali zingine za umiliki??Wakati wananchi wanajenga nyie mlikuwa wapi kuwazuia?
Wavamizi unaweza kuwazuia?Mpaka watu wanajenga maeneo ya serikali, hizi kamati za ulinzi zilikuwa wapi?.
Naona Magufuli kazikwa na utendaji kazi,uchapakazi.
Muache kuchochea vurugu jmnNi ubaguzi mkubwa sana
Shida ni umaskini ama umiliki halali?Huku ndiko alipochomewa nyumba mwenyekiti serikali ya mtaa, Nina ndugu wamekumbwa na huu mkasa inasikitisha sana unaambiwa nyumba kuu kuu zimeachwa nyumba za maskini ndizo zilizobomolewa.
Alafu unasikia watu wakidai Tanzania ni nchi ya aman, amani ipi ambayo wananchi wake wanateseka kiasi hichi?
Hayo maeneo yalikua ni mapori makubwa(non-habitable) tokea uhuru. Wavamizi wamesafisha, wameokota mafuvu ya watu, wamefukuza chatu hadi pameonekana panafaa kuishi binadamu. Wamepelekewa umeme na kufungiwa na TANESCO, TARURA wakatengeneza barabara na DAWASA wamewapeleka maji na kuwafungia kabisa. Leo wanakuja na kudai ni eneo la serikali na kuwavunjia waondoke ili wapime viwanja wauziane wenyewe kwa wenyewe viwanja vya low-density. Hao maskini wataweza kununua viwanja 20m? Kwanini wasiwafikirie japo wawapunguzie bei? Na walioachwa kubomolewa ni wale walioweza kulipa hiyo pesa. Kiufupi matajiri wametamani lile eneo maana limekamilika (habitable) na sasa njia ni kuwafutilia mbali waanzilishiWavamizi unaweza kuwazuia?
Si waonyeshe nyaraka za umiliki
Nnavyojua Serikali haibomoi bila kuhakiki umiliki
Sasa hivi ni awamu ya matajiri kupeta mkuu, mtamkumbuka sana yule msukuma! Chuki nyingi zilielekezwa kwake sababu ya kuwa washenzi kama hao walikuwa hawapewi fursa ya kufanya ushenzi wa aina hio hapo.Sasa eneo ni la nssf, vigogo wako pembeni.
Sasa hilo lililovunjwa ni mali ya nssf na syo la wavamizi, sjui nikuelewe kuwa wavamizi wanayo haki kuvamia eneo la nssf au matajiri wame influence[emoji45][emoji45][emoji45]
Ni kilio mkuuSasa hivi ni awamu ya matajiri kupeta mkuu, mtamkumbuka sana yule msukuma! Chuki nyingi zilielekezwa kwake sababu ya kuwa washenzi kama hao walikuwa hawapewi fursa ya kufanya ushenzi wa aina hio hapo.
Kama lengo ni kuwa eliminate maskini eneo hilo wala huo mpango huo muovu usingefanikiwa.