Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Jamani jamani siasa hizi mpaka lini? Naapa Mara hii Kikwete asipochukua hatua namimi nitaandamana. Enough is enough!
 
Hivi kweli tumefikia kipindi ambacho uchaguzi wa udiwani watu wanakufa????????
katika nchi ambayo inaitwa ni KISIWA CHA AMANI
damu za waliokufa hazitapotea bure,
Mola awaponye walio na majeruhi.
 
Kwa nini mpaka muda huu hajakamatwa wakati walimwona hata alichokuwa amevaa? This is ridiculous.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tanazania ni nchi ya amani na kila chama kina haki ya kunadi sera zake bila kutishwa i hate this type of politics
 
Nazi party style..Enzi za hitler...100% yanafanana....hitler na Nazi walilipua mpaka bunge la ujerumani na kuisingizia wakomunisti na wayahudi...same..policies...sasa naamini

Hujui chochote kuhusu Hitler na NAZI Party!!
 
Nawachukia ccm vibaya sana,mnafanya hivi ili tusiende kwenye mikutano,nawachukia mnaua watanzania kisa kura shame upon u,ccm=al-shabab
 
Ukisikia vita Congo,Rwanda,Burundi,Somalia na kwingineko haikuanza vita kubwa kwa siku moja vilianza visa vidogo vidogo kama hivi vikafumbiwa macho kwa sababu za kisiasa watu wakaji organize wakaunda jeshi wakaanza mapambano sasa na sisi hawa wanaorusha mabomu kanisani na kwenye mikutano ya siasa wanaachwa tuu wana advance wataunda jeshi na hapo vita kamili itaanza huku tukiimba wimbo tuliokariri Tanzania kisiwa cha Amani!!!
Kweli kabisa ndugu yangu
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani! CCM imeshindwa, please let people live
 
Usiku huu kitakachoendelea kwa maccm ni wizi wa kura na watachakachua sana na j'tatu watadai watu hawakwenda kupiga kura kwa ajili ya hofu!
 
Polisi wetu inabidi wajifunze nini mana ya ulinzi! Wangekuwa makini wangeligundua kabla halijalipuka.
 
988671_283468858464503_1540023150_n.jpg

983606_294523044018036_400653035_n.jpg

Damu pale Olasiti haijakauka leo mmemwaga nyingine??Hii kiu ya damu ya magamba itatumaliza!!
 
Haya yote yanayotokea ni hasara zaidi kwa ccm
 
Sitaki nomtuhumu mtu aliehusika na bomu hilo. Ila hapa najiuliza kama ni CCM wamefanya hivyo kwanini wasingetupa alipo mboe? Naamini CCM hawawezi kifanya hivyo kwasababu direct itaonekana ni wao. Ila kuna mpango naona kama umesukwa ili kupata kura za huruma na pia watu kujenga chuki upande wa pili. Nahisi hivyo.

Mimi napingana na wewe, Chadema wanakubalika na wanaaminika kwa uchapaji wao wa kazi, tena Arusha ndio wanakuaalika zaidi, hata wasingefanya kampeni hata 1 wangeshnda, ccm ni wahuni na wanajua kabisa hawatashinda ndio mana wameamua kulipua watu
 
ccm kuachia madaraka ni kazi ngumu sana.!!
 
Polisi wetu inabidi wajifunze nini mana ya ulinzi! Wangekuwa makini wangeligundua kabla halijalipuka.
Tanzania hakuna Polisi kuna POLICCM na wachumia tumbo, IGP ni shemeji yake na mwenyekiti wa CCM taifa unategemea nini kwa hali kama hiyo??!!
 
Back
Top Bottom