Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Nimemsikiliza Mbowe muda si mrefu anasema walipuaji wanajukikana na kama serikali haitawataja wao wanajua kila kitu. Nape pia anasema CDM ndo inahusika na bomu hilo. Kqwli siasa zinatupeleka kusiko hitajika.
 
Poleni wana-arusha,Poleni wapenda mabadiliko wote. Mungu azidi kuwatia nguvu.
 
Bila shaka itakuwa hii kazi iliratibiwa na huyu marehemu Idd aliyekufa leo
 
Wakuu nitawapa updates soon
=====
Updates:

Mkutano ulishaisha, Mbowe akaanza kukusanya michango kama ilivyo kawaida kwa mikutano ya CHADEMA, ndipo ghafla kijana mmoja aliyekuwa amevaa kaptula ya jeans iliyoraruka kidogo akarusha bomu wakafa watatu
Mhusika Mmoja kafa mmoja kaapishwa juzi , hakuna atakayebaki
 
Ni kwenye Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA leo hii.Nawatafuta Viongozi pamoja na Mbunge kwenye simu muda huu sijawapata ila nimeongea na Mungi ambaye ni member wa hapa JF muda huu.Ameniambia majeruhi ni wengi,watu wamezirai.Naendelea kutafuta updates

Haijulikani Mlipuko huo umetokeaje hadi muda huu maana alishindwa kunieleza kutokana na kelele na taharuki zilizokua eneo hilo
Nimeiona hii ID chozi likanilenga.

The Dark book is here.
 
Back
Top Bottom