Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Poleni ndugu zangu. Hapo tulipofikia pabaya mno. Ikiwa udiwani hali ni hiyo? Je kwenye chaguzi za ubunge na urais hali itakuwaje? ''Mwenyezi mungu wape hekima viongozi wetu'' ameni.
 
Poleni wote mliofikwa na maafa bila hatia yoyote,

Hawa jamaa sasa wanaingiza mambo ya mila kwenye maswala ya kitaifa, ukifuatilia kinchoondelea sehemu kama mererani na sehemu zinazofanana na hizo utaeleweshwa. Yaani kwao ili shughuli ifanikiwe damu lazima ihusike.....ila kilichotokea jamaa aliyepewa kazi aliambiwa mkutano ukiisha bila kuelekezwa kwamba ukiisha na viongozi wakishaondoka, sasa alivyo kichwa box akalitandika kabla hata waliomuajiri hawajaondoka. Alafu mnazuga na mapost yenu lukuki kuisingizia ccm.... yaani mipango mfanye nyie kusema mseme ccm...
kweli chadomo ni MAJANGA.

Kuna haja sasa hili genge liangaliwe upya la sivyo tutaendelea kushuhudia maafa......Ila mkumbuke:-

**Kila mtenda mema atakumbukwa kwa mema...

........makatili tunawapiga laana kum.....

........watu gani wasio na huruma......

........kuzitoa roho za watu bila ya sababu....

........hata watoto wadogo wamekosa nini....

........mtakwenda sema nini mbele ya mungu......

Marijani Rajabu

Na wewe utasema nini mbele ya Mungu, kama unayajua yote hayo na umekaa kimya mpaka damu za watu wasio na hatia zinateketea. Tafakari
 
Siasa na ushetani vinaendana sana hii ni michezo ya wanasisa mara makanisa kuchomwa mara kupiga mabomu kanisani mara kupiga mabomu mikutanoni hii ni michezo ya wanasiasa watanzania tuwe makini hakuna chama cha uzalendo kwa sasa hawa wote ni wa2 na tamaa zao
 
Wanajf naona leo hamusemi kama walolipua niwaisilamu waliovaa kanzu walikuwa na boda boda kama ilivozoeleka?duh!akili za kuambiwa bhana.....!all in all,mungu awalaze pema peponi.aamin
 
Wazimu nao wewe...Arusha kuna ushahidi wa vikao vya CCM hawa waarusha wakipanga kuwaondoa wachaga...na Lowasa amekuwa ni kiongozi wake mara zote, baada ya Lema kumuumbua akaenda Moshi kuchagisha saccos ya walimu.

HIlo wala halipo wazi kama unavyotaka leta wenda wazimu.Na swali nililokuambia ni jibu la wana CCM waliouliza kwanini maandamano hayafanyiki Moshi.....na mengine mengi sana.


Ni mkabila tuu anayedhani anayejitetea kutok ubaguzi wa kikabila ndiye mkabila.Ni mkabila tuu ndiye anayedhani kabila fulani linastahili kuwa treated kwa staili fulani nai si vinginvyo.

Km mlikubali wachaga wakawaelimisha ktk shule zao, wakawatibu ktk shule zao, wakawasafirisha ktk ndege zao, wakawapa habari ktk tv zao na magazeti yao, wakwapandisha magari bora kabisa ,wakawauzi na kuwakopsha vitu ktk maduka yao, wakasimamia taasisi nyeti kwa ufanisi na hata wakakagua maehsabu ya serikali na kushika wizi wa serikali..

Kwanini hamtaki waonyeshe umahiri huo ktk uongozi hadi mtake waua?Si muda mtahamia kwa wanyakyusa ambao kwa mwendo wa sumu tumeona, na wahaya...

Wewe ni wazimu mtupu akili yako finyu sana; tuwekee ushahidi wa Lowasa kutaka kuwahamisha wachaga; umeongea sana ya kudai tunaweza kujifunza kutoka kwa wachaga umesahau sifa nyingine kuu UWIZI NA UJAMBAZI; na kujibishana na majuha ni kazi kubwa; sioni kikubwa unachotaka kujidai nacho na huo uchaga; wapo wengi tena sana wanapigika kimaisha kama watatnzania wengine; kama kupiga rangi nayo ni kazi ya kujinadi nayo hilo nitakubaliana na wewe; dhambi ya ukabila itakuua!!!!
 
Uzuri wa Pembe huwa halijifichi, Hiyo ndio nia yenu lakini naamini hamuwezi fanikiwa.
Hata kama ukifuta CDM unafikiri watanzania hawa watarudi CCM ? Haiwezekani wataamia CUF na mziki ni uleule wa kuikataa CCM. Je mtaacha kuuwa wanachama wa CUF ?


OK. Kibanga ampiga mkoloni (Jina lako lanikumbusha enzi za baba wa taifa wakati kiswahili kikiwa somo kweli kweli!) Kibano pale pale hata mkikimbilia CUF! Sasa mnalipi la kufanya zaidi ya kukubali yaishe tu?
 
Hali siyo shwari polisi wanalipua mabomu watu wamejeruhiwa

Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.

Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.

================
Kutoka kwa Dr. Slaa:
================



===========================
Updates toka kwa Washiriki
===========================










attachment.php

attachment.php


PICHA ZAIDI TEMBELEA HII POST -> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-wahofiwa-kupoteza-maisha-25.html#post6590788
poleni ndugu zetu,naamini ni nidhamu ya uoga inayopandikizwa ila zipo hata mitandao ya kijamii ya kukusanya watu na kufikisha ujumbe sasa nakwenyewe sijui watapiga mabomu?tukaze mkanda ushindi unakuja!
 
Wana Arusha,

Kwa masikitiko makubwa, Mimi na mama Slaa tumepokea tukiwa Munich Ujerumani kwa masikitiko makubwa tukio la kulipuliwa Bomu katika mkutano wa Kampeni ya uchaguzi mdogo wa Madiwani, Arusha.

Tunatoa pole kwa familia zote za waliopoteza maisha katika tukio Hilo na pia tunamwomba kwa namna ya pekee Mwenyezi Mungu awape faraja wote walioumia kwa namna mmoja au nyingine na kuwapa faraja na neema kubeba maumivu waliyopata.

Chadema tunaanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tunamaliza na Mungu. Kama mtu asiye na dhamira na ubinadamu, awaye yeyote, na kwa sababu yeyote ile amefanya hivyo, katika hatua hii ni Imani yangu kuwa Damu ya ndugu zetu hao haitapotea bure. Kwa damu hiyo watanzania tushikamane zaidi, kuwaombea waliotutangulia mbele ya haki, lakini damu hiyo ituunganishe zaidi katika kupigania Tanzania isiyo na maonevu ya aina yeyote ile.

Hali hii sasa haivumiliki tena. Nchi inayoyoma, na hatuwezi kuendelea kutazama nchi inaporomoka. Tukiisha kutoa tahadhari miaka miwili iliyopita hawakutusikiliza. Hakuna Maisha ya Mtanzania hata mmoja kupotea katika mazingira yanayopaswa kuwa ya Amani. Uchaguzi kimsingi unapaswa kuwa tukio la Amani. Jukumu la kuhakikisha Amani ni la serikali na hakuna sababu ya kigugumizi Serikali inaposhindwa kutimiza wajibu wake wa msingi.

Roho za Marehemu zipumzike kwa Amani.

aya mambo yataisha lini?
 
:A S-fire1: HAKIKA SASA HII SI SIASA TENA, ni kama kuna kundi la watu wanadhani kwa kumwaga damu za watu WATAWEZA KUTAWALA MILELE, wanajidanganya! wajiulize, Where are Mobutu Seseseko, Adolf Hitler, Idd Amini, and much more with their inhuman backers, who persisted in shedding bloods of innocent people on their evil trial to rule for life? One day God proved to them that, "They Were Nothing Better Than Walking Carcases"
:kev:
My dear, and most dear of mine fellow Tanzanians, Hebu Tuwatambue na Kuwakataa watu hawa, Tuwazomee kila wapitako, Waaibike hapa duniani na kuzimuni watakakoenda baadaye. Naamini si wao wanaobeba mabomu hayo, bali Wanawatumia watanzania wenzetu wenye njaa na waliokata tamaa, pengine kwa ahadi ya ujira kidogo, kufanya matukio yanayoburudisha nyoyo zao katili na za kishetani.

Uwapi uchunguzi HURU? Kama upo, naamini Watajulikana, japokuwa wanaweza wasitajwe hadharani kwa majina au vyeo vyao. Lakini wasijidanganye, Mungu anawajua, aliwaona wakipanga na hata wakitekeleza unyama wao huo.

Namwomba Mungu awalaani watu hawa kama alivyowalaani watangulizi wao (niliowataja hapo juu).

"Ee Mwenyezi mungu, Wape uvumilivu wafiwa wote, Tunakuomba uwaponye haraka ndugu zetu walojeruhiwa"


"AMEN"
:A S kiss:
 
:yell: Bwana Fyatu, kweli wewe fyatu, akili yako kichambuzi ni kama ya mbuzi! Katika hali kama hii unaingiza imani za kishirikina! POLE SANA.
 
inasikitisha
mauwaji hayakubaliki
ni kuliangamiza taifa .......hii sasa ni ''organized crime'' kwa yoyote anae husika ni ushenzi
 
nadhan ni makosa kudhan kuwa ccm ndo wanafanya matukio hayo. ccm ipo kila kona ya nchi hii. kwa nini iwe arusha tu? bila shaka siasa chafu za lema ndo chanzo

Ni swala la mtazamo. Kama tutalzimika kuamini kuwa Lema siasa zake ni chafu, na hii ndio reaction ya wanaooona anawafanyia siasa chafu, bado mtazamo huoo unaonyesha kuwa hao wanalipiza kwa mabomu ndio tatizo kwani kuna njia nyingi za kumzuia Lema na siasa zake hizo zinazoitwa ni chafu if at all ni chafu sio kuua wanaomshabikia
 
acha kuropoka nguruwe wewe

Hata wanaofanya haya yanayotokea wanaamini kuwa ni mazuri though siku wakigeuziwa wao yanakuwa machungu kama unavyoweza kukosa hoja ku-refute andiko la mwenzio na kumuita Nguruwe. Ukipewa jina au ukiitwa wewe forum nzima itabidi ijue kuwa umekosewa. Just be patient kwa jina la uhuru wa kutoa maoni na kuvumilia pale tunapotofautiana. Great thinkers wa matusi kama wewe wako wachache sana.
 
Mkuu mtupiemo na mapicha basi! Poleni wote Watanzania wapenda amani na CDM kwa ujumla wake
 
Hili si jambo la kufanyia mzaha hata kidogo itabidi jamaa harudi rumande tena safari hii na mbowe nae afuate maana nasikia aliokota vyuma vya bomu akawakabidhi polisi sasa jiulize kazi ya kukusanya ushahidi ni yake au polisi? wewe umesikia wapi raia kwenda kukusanya ushahidi ? yaani hapa wameshaharibu hata kama muhusika akikamatwa labda hasiwe na wakili mzuri.

Kutokana na weredi wa Mbowe inanitia shaka yeye kufanya jambo la ajabu kama hili. Angekuwa mtu asiyejua ningeelewa.
 
Back
Top Bottom