Ni kwenye Mkutano wa Kampeni wa CHADEMA leo hii.Nawatafuta Viongozi pamoja na Mbunge kwenye simu muda huu sijawapata ila nimeongea na Mungi ambaye ni member wa hapa JF muda huu.Ameniambia majeruhi ni wengi,watu wamezirai.Naendelea kutafuta updates
Haijulikani Mlipuko huo umetokeaje hadi muda huu maana alishindwa kunieleza kutokana na kelele na taharuki zilizokua eneo hilo
Una hakika ni CCM? Au bomu likilipuka mkutano wa CHADEMA automatically waliotega ni CCM?
Sikilizia maumivu hayabaada ya kuhesabu kura kesho!![]()
Maccm wanaitakia nini nchi hii,kwa nini hamchezi fair?
Ndio maana baba mwenye nyumba kakimbia ili watu wake wafanye wanavyotaka
Mtoto mmoja confirmed amefariki na wengine 6 wana hali mbaya sana. Mshtuko na taharuki ni kubwa sana.
Una hakika ni CCM? Au bomu likilipuka mkutano wa CHADEMA automatically waliotega ni CCM?