Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Laaaaaaaa hilo nalo jambo. Ehe tupe apdeti na picha ya tukio hilo na hao majeruhi wamelazwa haspiali gani.?

wote wamepekekwa seliani....m . meru hamna huduma nawaons kama arobaini hapa sasa ivi
 
Oooohooo ooho my god!

Nini hasa ccm wanakitaka raia wakifa????

Ccm ndio inayoliingiza taifa hili machafukoni

wewe kwakua ni verified member waweza isaidia polis maana inaelekea unawajua waripuaji.
AFANDE MWEMA,KUNA POTENTIAL WITNESS HAPA.
 
Smthng rat here..kila jambo linalotokea la kumwaga damu,basi fastjet inakuwa nje/abroad.
 
Dereva wa Bajaji atakamatwa....na wa 'yemen' wawili...kisha jina lake litatajwa..wa 'yemen' wataachiwa.... Pia upekuzi utaonyesha vitu vyenye ncha kali.
 
Kwa vile Mwigulu yuko Arusha hapo hakuna shaka kabisa hao ni CCM tu 99% sure.

Walikubali mfumo wa vyama vingi bila kupenda na sasa wako desperate wameamua kutuua tu. So sad

Inawezekana kabisa ni CCM, lakini semeni hivyo kwa ushahidi uliotokana na uchunguzi wa uhakika.

Mkianza habari za "Kwa vile Mwigulu yuko Arusha hapo hakuna shaka kabisa hao ni CCM tu" mtaonekana mnatapatapa bila ushahidi wala uchunguzi, hata kama ni kweli Mwigulu ndo katega bomu.
 
nashauri msajili wa vyama akifute chadema. Vinginevyo yatatokea makubwa zaidi. Wamefanya kila wawezalo kuigombanisha serikali na wananchi wake.

mwambie akufute ww mana una uchafu sehemu fulani ya mwili wako.
 
Bomu limerushwa wakati mkutano ndiyo umeisha, target aliluwa Mbowe
 
Mabomu tena Arusha, Jamani Tanzania yetu tunaipeleka wapi sasa.
 
Poleni sana wote mliopatwa na hayo maswahibu, Hakika damu iliomwagika haita kwenda bure.
 
Badala ya kutoa pole na kuwaombea majeruhi!! Anzeni kuzusha maana ndio asili yenu. G. Lema alikurupuka baada ya lile bomu la kanisani mwishowe aibu ikamfika. Leteni habari za uhakika na sio udaku
 
Wakati wa ukombozi ni sasa.
Mbinu chafu zilizotumiwa na makaburu zilifika mahali zikagota.
Mtatutesa, mtatufunga, mtatutoa kucha na meno, mtatoboa watu macho, mtatuua.
Lakini neno la Mungu litasimama upande wa haki.

Ole wenu magamba, saa yaja, tena iko karibu sana.
Ukweli wote utadhihirika.

Poleni sana wana Arusha.
Poleni sana makamanda.
Poleni sana wote mlioguswa, mliojeruhiwa na mliopoteza ndugu kwenye tukio hili.

Damu yao haitamwagika bure.
Huu tuliofikia sasa ndiyo ule uchungu wa mwisho, mama anakaribia kupata mtoto.
Ninaamini sasa Ukombozi wa wanyonge umefika!

Mungu Awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha!
 
Badala ya kutoa pole na kuwaombea majeruhi!! Anzeni kuzusha maana ndio asili yenu. G. Lema alikurupuka baada ya lile bomu la kanisani mwishowe aibu ikamfika. Leteni habari za uhakika na sio udaku


Wanchi tumeshawajua Chadema.
 
Back
Top Bottom