Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Tanzania tunaenda wapi?? CCM uroho na tama ya jiji la Arusha mnamwaga damu za watu? Naanza kufikiria kaskazini tujitenge tuwe na taifa letu, enough is enough!!
 
Hapa nilipo naona gari limebeba watu ni majeruri na damu zina mwagika na polisi ndio wameingia hapa!
 
Laaaaaaaa hilo nalo jambo. Ehe tupe apdeti na picha ya tukio hilo na hao majeruhi wamelazwa haspiali gani.?
 
Mtoto mmoja confirmed amefariki na wengine 6 wana hali mbaya sana. Mshtuko na taharuki ni kubwa sana.
 
Ni baada ya mkutano kufikia hatua za mwisho na kama ilivyozoeleka tunaanza kukusanya michango ndipo kikatokea kimlipuko katikati ya mkutano!
 
Tanzania tunaenda wapi?? CCM uroho na tama ya jiji la Arusha mnamwaga damu za watu? Naanza kufikiria kaskazini tujitenge tuwe na taifa letu, enough is enough!!

ccm hawawezi kutega hayo mabomu ,ili waachive nini?tena siku ya mwisho wa kampeni...mbona unakua na haraka kulaumu kabla,au unahusika mkuu?
 
Tanzania tunaenda wapi?? CCM uroho na tama ya jiji la Arusha mnamwaga damu za watu? Naanza kufikiria kaskazini tujitenge tuwe na taifa letu, enough is enough!!

Bomu hili lina uhusiano wa karibu na bomu la Kanisa.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida bomu la kurusha kwa mkono limerushwa baada ya kamanda Mbowe kumaliza kuhutubia na hatimaye limeua watu kadhaa. Hali ni ya hatari kwa sasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kuna nini tena wazee, mbona ni hatari, tumefikia huko????? Tupeni habari jamani???
 
Watakuja na propaganda CHADEMA waliwategeshea wananchi wao bomu kwenye mkutano wao...

Ndivyo wanavyopanga. Uko sahihi. Januari 5, 2011 haikuwasaidia. Leo nimeamini utawala huu wa CCM umegota kbs.
 
Nilikuwa nakaribia kuanza kuandika polisi wakaanza kutupiga mabomu ya machozi. Ikabidi tukimbie.

Sababu za kuwapiga mabomu ya machozi ni zipi mkuu??Mmefanya fujo au imekuwaje??

Tutashukuru ukitupa more updates!!
 
Back
Top Bottom