Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Yana mwisho haya
.....tubakie hapa tuone info zitaishia wapi...kama unaona mbali na ni mfuatiliaji wa mambo u can conclude everything...unaweza kujua nini kinaendelea..auwewe ni msomi kabisa hadi ukaitwa dr.weka siasa pembeni subiri for more infor kabla hujaanza lawama.
Maccm wanaitakia nini nchi hii,kwa nini hamchezi fair?
Napata picha sasa!
Wao wana Mabomu! Sisi tuna Mungu!
- Tukio la Olasiti Kigango cha Mtakatifu Joseph Mfanyakazi CCM kwa njia 1 au nyingine wanahusika!
- Tukio la leo Soweto Garden mkutano wa Chadema CCM kwa njia 1 au nyingine wanahusika!
Huenda ni vijana wa mwigulu nchemba waliokua wanapewa mafunzo kwenye kambi maaluum.Katika hali isiyokuwa ya kawaida bomu la kurusha kwa mkono limerushwa baada ya kamanda Mbowe kumaliza kuhutubia na hatimaye limeua watu kadhaa. Hali ni ya hatari kwa sasa.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ndivyo wanavyopanga. Uko sahihi. Januari 5, 2011 haikuwasaidia. Leo nimeamini utawala huu wa CCM umegota kbs.
too bad