Najijua
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,040
- 182
Mpaka sasa nashindwa niseme nini maana inawezekana ni CCM ili wawatishe watu kesho kwena kupiga kura, wapate kusema CDM ni wavurugu.
Part B ni CDM wanaweza wakawa ndio wametengeneza skendo ili wapate kura za huruma, wapate cha kusema baada ya kushindwa kisingizio kiwepo wapiga kura walitishwa