Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Yani mimi kwa 100%, hii ni kazi ya CCM na Mwigulu Nchemba...
Hili tukio linafanana na lile la kanisani na kwa nini arushaaa????????????????????????why??
yaani huyo MO-TOWN anatia hadi kichefuchefu anawaza kama hana hata uelewa na fikra, itikadi zimemjaa anasahau utuNi vyema kutumia akili zako kuliko za kushikiwa...endelea tueleze ni kwanini unasema hili tukio ni inside job na inawanufaishaje CDM kuwauwa au kuwajeruhi au kuwatia hofu wapiga kura ambao wanahangaika kuwashawishi kuwapigia kura...
na ninahisi huu ndio mpango wao ili waanze kusambaza taarifa kama hizo kitoabu ndugu yangu acha ushabiki usio na maana kumbuka hata roho yako isiyo na huruma itakuja onja mauti siku moja.
Mkuu kama yupo anaefitinisha vyama basi anakifanya chama kimoja kionekane hakifai na kile kitakachoonekana kinafaa ndipo anakotokea yeye,hata kwa Mungu na Shetani hakuna mguu pande lazima mguu sawa sehemu mojawapo...Ninyi mnaolaumiana kwa vyama, hivi mmeshafikiria kuwa yawezekana kabisa kuna mtu nje ya hivi vyama anayetafuta njia ya kutufitinisha Watanzania? Nafikiri huu ni muda wa kuungana na kuwa kitu kimoja kumtafuta huyo adui, awe ndani ya vyama vyetu au nje.
Mimi napingana na wewe, Chadema wanakubalika na wanaaminika kwa uchapaji wao wa kazi, tena Arusha ndio wanakuaalika zaidi, hata wasingefanya kampeni hata 1 wangeshnda, ccm ni wahuni na wanajua kabisa hawatashinda ndio mana wameamua kulipua watu
mkutano wa CCM ulikuwa na watu wachache sana....CCM wasitegemee tena kura....Lema laishtuliwa na polisi pale uhsibu atoke,Likatua bomu la machozi alipoinuka, leo napo lilikuwa linalena viongozi wa CDM ...CDM hawawezi wakwa wajinga kiasi hicho hadi wa target kuua viongozi wake.
Najua nitakufa lakini sio kifo cha masikhara namna hiyo. Iweje ukweli upingwe? Kwanini matukio haya hayatokei kwenye vyama vingine zaidi ya CDM? CHUKUA HATUA.
İGP ajiuzulu
Jamani kwa hili tukio lazima nimshukuru Mungu sana tena sana.
Maana kama siyo Arushaone kufika kwangu na kuniuliza Crashwise yuko wapi, nikamwambia twende nikuonyeshe mahali alipokuwa, hapo hapo baada ya kuondoka bomu kikalipuka.
Mungu alimleta Arushaone ili tuondoke pale!
Walengwa walikuwa mbowe na lema bila shaka
Amani ya Tanzania CCM wanaifikisha mwisho. Tuombe Mungu 2015 tuwaondoe.