Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Too bad!
Nchi inaingia katika Historia ya aina yake katika nyanja ya siasa.

Mkuu JK
anaachia nchi kwenye machafuko mabaya akiambiwa hasikii
hii kama imetokea kwa mkutano wa chadema iweje kesho Jk anahutubia huko sumbawanga au mtwara bomu lisitupwe.



 
vipi hamjaona kanzu nyeupe.. ???

cdm hizi siasa za majitaka hazitowafikisha mbali hii ni inside job kama Ile ya kanisani hapo arusha

Ni vyema kutumia akili zako kuliko za kushikiwa...endelea tueleze ni kwanini unasema hili tukio ni inside job na inawanufaishaje CDM kuwauwa au kuwajeruhi au kuwatia hofu wapiga kura ambao wanahangaika kuwashawishi kuwapigia kura...
 
Ninyi mnaolaumiana kwa vyama, hivi mmeshafikiria kuwa yawezekana kabisa kuna mtu nje ya hivi vyama anayetafuta njia ya kutufitinisha Watanzania? Nafikiri huu ni muda wa kuungana na kuwa kitu kimoja kumtafuta huyo adui, awe ndani ya vyama vyetu au nje.
 
Du wapi tunaipeleka nchi yetu kwa uroho wa madaraka
 
Una hakika ni CCM? Au bomu likilipuka mkutano wa CHADEMA automatically waliotega ni CCM?

mkutano wa CCM ulikuwa na watu wachache sana....CCM wasitegemee tena kura....Lema laishtuliwa na polisi pale uhsibu atoke,Likatua bomu la machozi alipoinuka, leo napo lilikuwa linalena viongozi wa CDM ...CDM hawawezi wakwa wajinga kiasi hicho hadi wa target kuua viongozi wake.
 
Hii hali ni ya hatari. Kwa namna yoyote CCM hawawezi kukwepa hizi lawama. Inajulikana wazi mchuano ni kati ya CCM na CDM. Haya mauaji yamefanywa na wapinzani wa CDM most likely CCM wakijua wazi waliokuwepo hapo ndo wapiga kura wa kesho so watawapunguza kwa kifo na majeruhi lakini watakao salimika watakuwa na hofu ya mikusanyiko most likely wataogopa kwenda kupiga kura. Inasikitisha sana kuona mtu yupo tayari kupanga mkakati wa mauaji eti kisa ni uongozi tena katika ngazi ya chini kama udiwani. Yeyote aliyehusika kwenye mipango hii Mungu atamlipizia tena hapa hapa duniani.

mkuu unachoongea ni sawa na kujaribu kina cha maji kwa miguu miwili tumeshuhudia maeneo mengi chadema wakifanya siasa za matukio ya kuuwa watu na vurugu kwa hiyo wanaweza kuhusishwa pia;lakini mantiki hapa siyo kutupiana mpira ni kutafuta ukweli.
 
Ni baada ya mkutano kufikia hatua za mwisho na kama ilivyozoeleka tunaanza kukusanya michango ndipo kikatokea kimlipuko katikati ya mkutano!

Ndallo hapo kwenye red!
Nakuomba ukanushe kauli yako Mkuu!
Eti kimlipuliko?
 
Last edited by a moderator:
Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.

Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.

attachment.php


Mpaka sasa waliokufa wanafikia watatu.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hii ni kazi ya chadema, kwa mtu mwenye akili timamu ataelewa kuwa hii itawaathiri sana ccm sasa kwanini wafanye haya maovu. Hii ni mbinu za kupata sympathy za wananchi
 
Ukisoma comment nyingi kwenye uzi huu utagundua kuwa watu wengi within a minute wanamfahamu aliyelipua bomu lakini kwa mwezi mzima hawakugusia kuhusiana na tukio lolote baya achilia mbali kumfahamu huyo mtu kama atalipua bomu. Something very WRONG with our mentality as ONE NATION.

Poleni sana wale wote mliopatwa na tukio hili la kushangaza na kuhuzunisha.

Wanaotenda vitendo hivi, wanafanikiwa kwa sababu 1) Vyombo vya ulinzi vimekuwa siyo pro-active 2) Kutoshughulisha ubongo wetu ili kupambanua mambo kwa mapana na marefu. 2) kuchukua mambo kwa urahisi bila kujali matokeo yake.

Siasa za ndani na dini zetu kwa Tanzania zinaanza kuwa ni mbolea ya mafarakano na mauwaji nchini.

Where are we going as a nation?.
 
Lakini matokeo haya mbona hayatokei Kirimanjaro? mbona kila siku ni Arusha pekee? Wana arusha munapaswa kutafakali hili. CDM sio mkombozi wa wananchi bali ni chanzo cha vifo vya raia wengi hapa nchini.

Fafanua tofauti ya Kilimanjaro na Asusha Kwa swala zima la kukubalika kwa Chadema,
 
Back
Top Bottom