Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Itafuteni Rekodi/Youtube ya Nape aliyoitoa Makambako hivi karibuni imo humu JF, alikuwa akiwatahadhalisha wasihudhurie mikutano ya Chadema kwani watapoteza maisha. Ahojiwe kivipi alikusudia?
kweli kabisa njoo Nape Nnauye hapa udhibitishe
Last edited by a moderator:

