BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
Tukio lililotukia Arusha jioni ya leo Jun 15, ccm watasema ni chadema tena ikiwezekana watakamata mtu na kumwambia akihojiwa aseme alitumwa na chadema. Wana chadema twendelee kushirikiana japo ninajua kwamba chadema inajengewa mazingira ya kufungiwa kabla ya 2015 ili ccm ishinde maana imeshikwa kooni.
TUIOMBEE SANA CHADEMA.
TUIOMBEE SANA CHADEMA.