Kwanza nitoe pole kwa wana Arusha kwa upumbavu wa serikali yenu
Wakati leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha kampeni za uchaguzi mdogo katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu, nimepata wazo japo huenda nimechelewa kulitoa hadharani kwa Chama cha Mapinduzi (CcM)..
Katika maeneo mengi na hata bungeni, makada na wanachama wa CcM wamekuwa wakipata kura kwa namna nyingi zikiwemo kuwatia wapiga kura woga na kujenga mazingira kwamba pasipo CcM, woga huo utageuka tukio halisi! Na kwa mbinu hiyo hiyo,nawakumbusha wana-CcM kwamba wakati wa kufunga kampeni hasa huko Arusha na Monduli; wasisahahu kuomba kura kwa kusema maneno yafuatayo hasa kwenye kampeni ya kitanda kwa kitanda:
1. CHADEMA ni chama cha WACHAGA hivyo msikipigie kura
2. CHADEMA ni chama cha WAKRISTO, hivyo wanyimeni kura
3. CHADEMA ni chama cha KIKANDAna kinapigania ukanda (kanda ya KASKAZINI na Arusha/Monduli zikiwemo) hivyo wasipewe uongozi
Kutoyasema maneno haya kutawanyima wagombea wenu kura za kutosha!
Kutoyasema maneno hayo ni kujisaliti
Kuyaacha maneno hayo ni kuwa wanafiki kwa kuwasengenya wenzenu nchi ya eneo la tukio
Chonde chonde CcM msisahau maneno hayo.