ccm kuachia madaraka ni kazi ngumu sana.!!
Mkuu kama uchaguzi wa madiwani unakua hivi, itakuwaje 2015...
Mungu tuepeshe na jini CCM..
Asiyekubali kushindwa si mshindani! CCM imeshindwa, please let people live
Ungetulia ukato taarifa inayoeleweka
Kitendo cha gaidi namba moja Tanzania (mwigulu) kuweka kambi Arusha, matukio kama haya wengi tuliyatarajia.Maccm wanaitakia nini nchi hii,kwa nini hamchezi fair?
Ndugu!! Uroho unaletwa na njaa. CCM ni chama tawala na ndio walio madarakani. Uroho watautoa wapi?????Tanzania inakwenda kupotea sasa, uroho wa madaraka waa ccm utalipoteza taifa