Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

huu umati umewachanganya ccm mpaka kuanza kutumia mabomu

945904_10201526409148411_832466108_n.jpg
 
Hawa ccm ndio walilipua watu kanisani,sasa naanza kuamini maneno ya mwigilu kwamba watetea chama chao kwa hali na mali.
 
ni mapema sana kuanza kuishutumu CCM, mtu yoyote anaweza tumia mwanya wa ushindani wa kisiasa kutumiza malengo yake, Pole wafiwa, poleni ndugu zetu
 
Mh this is an Issue. Hebu tuweke siasa pembeni kwanza, tukianza habari za uchadema na uccm wahusika hawatapatikana bcoz kila mmoja atarusha mpira kwa mwenzio. Lakini nyie wanasiasa kwa nin mambo haya. Mungu Awalaze pema peponi
 
Mkuu kama yupo anaefitinisha vyama basi anakifanya chama kimoja kionekane hakifai na kile kitakachoonekana kinafaa ndipo anakotokea yeye,hata kwa Mungu na Shetani hakuna mguu pande lazima mguu sawa sehemu mojawapo...

huo ndo ukweli,hawa wanasiasa wanataka kutuharibia nchi.
 
Ukisoma comment nyingi kwenye uzi huu utagundua kuwa watu wengi within a minute wanamfahamu aliyelipua bomu lakini kwa mwezi mzima hawakugusia kuhusiana na tukio lolote baya achilia mbali kumfahamu huyo mtu kama atalipua bomu. Something very WRONG with our mentality as ONE NATION.

Poleni sana wale wote mliopatwa na tukio hili la kushangaza na kuhuzunisha.

Wanaotenda vitendo hivi, wanafanikiwa kwa sababu 1) Vyombo vya ulinzi vimekuwa siyo pro-active 2) Kutoshughulisha ubongo wetu ili kupambanua mambo kwa mapana na marefu. 2) kuchukua mambo kwa urahisi bila kujali matokeo yake.

Siasa za ndani na dini zetu kwa Tanzania zinaanza kuwa ni mbolea ya mafarakano na mauwaji nchini.

Where are we going as a nation?.

Hivi wewe mwenye alama zote za Werema(anayejiita eti naye ni mwanasheria) kwenye ubongo wakounabwabwaja nini hapa! Hujui hii ni kazi ya usalama wa taifa chini ya maagizo ya CCM?
 
Mtela Mwampamba Mko kupiga kelele humu but mbowe na lema wanagonga grass kwa kufanikiwa ili waonewe huruma na wapiga kura kesho but still kesho tunashinda kwa kishindo ccm juuuuuuuuuuuuu


Mtela Mwampamba Hamuyajui hayo but sisi tuliokaa chadema tunayajua sasa naona lwakatale yuko kazini.poleni sana misukule wenzenu wanatafuta huruma za wapigakura nyinyi mnakurupuka. Naona kafara zinaendelea

mwisho wa kunukuu comment zake za leo jioni
 

Attachments

  • mtela.PNG
    mtela.PNG
    7.9 KB · Views: 398
  • mtela1.PNG
    mtela1.PNG
    9.2 KB · Views: 184
Nashindwa elewa kwanini mt.Meru Hospitala hawakutaka saidia wanacdm na wengine wahanga wa Bomu ktk mkutano wa kufunga wa CHADEMA.Je walitaka P03 ya nini ktk dhoruba ya umma?NI kwa vile walikuja wafuasi wa CDM?Au ndio kukosa busara tuu ya kuwapokea wahanga ?Au wamesahau kuwa si mara ya kwanza huu unyama kutokea arusha?

Kutokana na haya imefikia watu kuleta vurugu kubwa na kuto akichapo kikubwa sana wa wafanyakazi wa hospital pale.NI lini basi hospital zinajishtukia kuwa siasa si sahihi sana ktk huduma kam ya afya..what if ndugu yao alijeruhiwa ktk kupita tuu?Au ni amri ya serikali ilitangulia?
 
sio IGP.naanza kuhisi hatari mbeleni.watz me siamini kama miaka miwili iliyobaki ya jamaa kuwa madarakani hatutaimaliza salama.kuna ugomvi ambao unaendelea hapa na walipaji wakuu ni wananchi wa kawaida.mafahari wawili wagombanapo....?hapa kuna mawili coz naona ni dhahiri jk ameshindwa kuwadhibiti wabaya wake ambao wanayumbisha nci na inavyoonekana hawako tayari kugiveup,either jamaa ajiuzulu au jeshi lichukue nchi.otherwise,trust me mabibi na mabwana,tutazipiga kabla ya next election.

kuna haja gani kwa İGP kuendlea kuwepo huku amani ya nchi ipo mashakani
 
Afadhali naona mshaanza kuelewa somo, nimepima mawazo yenu naona udini haupo tena.
Ila nna swali.!

Mbona hili kwa haraka hamjaliita kuwa ni tukio la kigaidi? Wala hakuna hata mmoja aliyelihusisha na uislamu? KUNANI?
 
Tunawata polisi wa arusha kuwakamata haraka waliohusika kutega na kurusha bomu kwenye mkutano wa chadema. Hatutaki siasa za vita tunataka vyama viuze srea wananchi wawe waamuzi mambo ya kutumia mabomu ni silaha ya mtu muoga. Mungu ibariki afrika mungu ibariki tanzania
Sawa afande:crutch:
 
Sifurahishwi kabisa na siasa za lema nitapingana naye daima anavitendo viki vya rafu hata hili yawezekana kunamkono wake.
 
Nimehudhuria mkutano huo wa leo na nilichokishuhudia kwa kweli kinatia huzuni/hasira/ ni kitendo kiovu na hakipaswi kuvumiliwa hata kidogo.Kama nchi hii itaendelea kwa namna hii ,kitakachotokea hakuna atakaeamini kama kweli kinatokea ktk nchi hii.Mkutano ulianza vizuri na baada ya mkutano kuisha na likawa limebakia zoezi la kuchangishana fedha hapo ndipo mlipuko mkubwa ulitokea ktk eneo la gari la matangazo la Chadema.Ninahuzunishwa sana na baadhi ya wadau humu jukwaani wanapokejeli na kusema uongo katika jambo baya kama hili lililogarimu maisha ya watu..
 
CCM walishatangaza kuwa CDM ni chama cha wakristo na mkristo pamoja na viongozi wao wanatakiwa kuuawa kwa njia yoyote ile, mashehe wamehimiza waumini wao na CD/DVD kuhusu hilo zipo wazi jeshi la polisi wanazo na wahusika wanajulikana na bado wanaendeleza kampeni hizo za kuuangamiza ukristo. Ndugu watanzani hivi karibuni mkoani Geita watu walitia sumu kwenye kisima cha nyumbani kwa mchungaji wa kanisa la AIC lengo ni lile lile tu kuwaua wakristo wote ili waishi wao na Rais wao anayewahakikishia ulinzi juu ya hayo yote wanayoyatenda. Wakristo mlioko serikalini mmetusaliti na hamjui kiongozi wa serikali yenu anawaza nini juu ya ndugu zenu. amkeni na mchukue hatua, ni bora kuasi wote na tufanye uchaguzi kuliko kuacha ndugu zenu wanakufafa kama mbwa na nyie mkiishi maisha mazuri. Lakini kumbukeni wakitumaliza sisi tulio nje ya serikali mtafuata nyie labda msilimu wote ndipo mtapona.
 
Jamani kwa hili tukio lazima nimshukuru Mungu sana tena sana.
Maana kama siyo Arushaone kufika kwangu na kuniuliza Crashwise yuko wapi, nikamwambia twende nikuonyeshe mahali alipokuwa, hapo hapo baada ya kuondoka bomu kikalipuka.
Mungu alimleta Arushaone ili tuondoke pale!

Walengwa walikuwa mbowe na lema bila shaka
Mungu ni mwema siku zote,pole sana mkuu,ila kuokoka kwako sio kwamba wale waliopigwa ni wakosaji ila Mungu karuhusu hali hiyo itokee katika mpango wa mwovu akijua hatajulikana ila Mungu humzihirisha kupitia matukio,pole sana Mungu ni mwema sana,ccm jehanam inakusubiri
 
Last edited by a moderator:
Sasa kuna haja kwa CDM kuanzisha jeshi letu la ulinzi kwa ajili ya kuwalinda viongozi wetu na mikutano yetu, maadui zetu wameanza kutuvamia baada ya 'kuliimarisha' jeshi lao
 
Ndugu wanajamvi kwanza nianze kuwapa pole wote walionusurika na bom na Mungu awalaze Pema peponi waliotangulia na jua huu sio msiba wa watanzania wote coz umefanywa kwa makusudi na hao hao ambao Kesho tutasikia wakisema Kua tunasikitika na tunaahidi tutawakamata walioifanya hivyo huku ndani ya moyo wanafurahi kwa mipango Yao kukamilika je kunahaja ya kuiamini serikari hii? Je kwa nini kwa CDM tu Wakati hata ccm walikua na mkutano Leo je watakaokamatwa watakua wahusika wa kweli ? Na Kama udiwani tu tunauwana je urais itakuaje Tanzania hatuna polis wala usalama wa taifa Hilo tulijue kuna usalama wa ccm na policcm basi
 
Back
Top Bottom