Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Kiukweli sasa hali ya nchi ni mbaya,kama wananchi wanapigwa mabomu,sijui taifa hili linaelekea wapi.
 
New update kutoka kwa mwenyekiti wa chadema wilaya!
Tupo kwenye kikao,
Watu waliohusika na tukio la bomu wamefahamika na tutawaweka wazi!

Amina! Amina! mkuu,
tupeni ukweli mnaoujua kabla ccm hawajachakachua.!!
 
ccm hawawezi kutega hayo mabomu ,ili waachive nini?tena siku ya mwisho wa kampeni...mbona unakua na haraka kulaumu kabla,au unahusika mkuu?

Mkuu there is two possiblities, either wewe ndo mhusika mkuu au unamfahamu vyema mtegaji na mlipuaji wa mabomu.
 
Ni ugaidi ambao umekuwa ukihamasishwa na Mwigulu kwa manufaa ya CCM.

Au ni wale vijana tulisikia wapo kambini Mbeya sasa wamekuwa released kwa ajili ya field practicals?
 
"kijana mdogo kabisa ameuwawa. Ana tundu sehemu ya kifuani kushoto. Kwenye moyo. Inadhaniwa ni risasi. Hospitalini Mount Meru wanasema wamempokea akiwa amekufa tayari.

Kijana mwingine mdogo amejeruhiwa sana kichwani, kiasi kwamba ubongo unatoka yuko Mount Meru. Watu walioumia ni wengi sana sana. Mwenyekiti Mbowe amekwenda Selian Hospitali na Mount Meru Hospital na sasa pamoja na Lema wako eneo la tukio.

» Kuna maganda ya risasi za moto hapa yameokotwa pia mabomu ya machozi. Why bullets na canisters! Swali la muhimu sana, kwa nini polisi wapige risasi"?

Upo eneo la tukio au umeambiwa na mtu?
 
Mtatupiga na kutuua, lakini watakaobaki kesho asubuhi watakwenda kupiga kura.
Huu ni uchaguzi wa diwani, kuna chaguzi zingine zinakuja, ikiwamo kura ya maoni ya katiba na uchaguzi mkuu wa 2015.
Mtaua wangapi? Kama uchaguzi wa diwani mnaanza kuua, je hizo chaguzi zingine itakuwaje?
Eleweni ya kwamba Watanzania tuko zaidi ya milioni 44, hamtatumaliza kamwe.

Tumeonewa kiasi cha kutosha,
Tumepuuzwa kiasi cha kutosha,
Tumedhalilishwa kiasi cha kutosha,
Sasa tunataka mapinduzi ili tusionewe tena!
Tusinyonywe tena!
Tusidhalilishwe tena!
Na tusipuuzwe tena!

Nendeni wapambanaji mkapige kura zenu, na mkazilinde!

mnaloga halafu mnakimbilia kulia lakini jueni mungu anajua namna ya kuwaadhibu siku zenu zinafika mwisho mda si mrefu.
 
Jamani wana jf mlio Arusha tujuzeni,ni kweli bomu limelipuka na ktjeruhi watu kwenye mkutano wa chadema?
 
Ccm au Chadema washugulikiwe. But kuna watu wanatafuta sana kufanikiwa hata kwa kumwaga damu wanapenda kutumia maneno hayo labda wameshaanza. Poleni wahanga msio na hatia.
 
Wakaamua kuwamalizia na wale waliosalia kwa mabomu na risasi za moto. JK utasema je hapa. Ya kanisani ulispin sasa tuone mtauwa wangapi Arusha ili mjue mlishakufa zamani.
 
Nadhani kuna kikundi au chama cha siasa kinataka kuwaogopesha wapiga kura ili kesho tusiende kupiga kura. Mimi nitakwenda, na kura nitapiga.
 
Nimehudhuria mkutano huo wa leo na nilichokishuhudia kwa kweli kinatia huzuni/hasira/ ni kitendo kiovu na hakipaswi kuvumiliwa hata kidogo.Kama nchi hii itaendelea kwa namna hii ,kitakachotokea hakuna atakaeamini kama kweli kinatokea ktk nchi hii.Mkutano ulianza vizuri na baada ya mkutano kuisha na likawa limebakia zoezi la kuchangishana fedha hapo ndipo mlipuko mkubwa ulitokea ktk eneo la gari la matangazo la Chadema.Ninahuzunishwa sana na baadhi ya wadau humu jukwaani wanapokejeli na kusema uongo katika jambo baya kama hili lililogarimu maisha ya watu..
Mkuu hawa wazee waliokalia viti vikubwa wanakazi ya kutoa na kupanga matukio kama haya wajue kwamba kikinuka tutaanza nao,haiwezekani kila siku maturubahi kwa wanyonge kila siku wakiomboleza na njaa zao wakati kwa mafisadi ni vigelegele na shangwe...ccm haikubaliki
 
daah..kaka mbona huu ni ushaidi mkubwa saaana..maganda ya risasi, mabomu ya machozi...
naaaaa.....hiv Obama si ameharisha safari vile..au machale yana mcheza...na maswali kama kichwa cha mwendawazimu...ngoja ,...
 
Wasijidanganye kuwa bajeti wananch hawajui madudu ya CCM..Wanajua sana tena sana kuliko wanavyodhani.! Ijadiliwe isijadiliwe lakini wajue kiama chao kiko karibu sana. Kwanin wasijue kuwa binadamu anabadilika siku moja hasa pale anapokasirika. WAKUMBUKE YALIYOWAKUTA VIONGOZI VIGOGO NA WAKONGWE kwenye sakata la Gesi Mtwara.. Bado tunaipenda amani yetu..,"Ccm leave us in peace not in pieces"
 
Hali siyo shwari polisi wanalipua mabumu watu wamejeruhiwa

Bomu lililolipuka limejeruhi watu sana. Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo.

Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.

attachment.php


Mpaka sasa waliokufa wanafikia watatu.

Hivi tupo FALLUJAH au KANDAHARI au SYRIA. DAA siasa mbaya sana
 
New update kutoka kwa mwenyekiti wa chadema wilaya!
Tupo kwenye kikao,
Watu waliohusika na tukio la bomu wamefahamika na tutawaweka wazi!
Huu si muda wa porojo tutajieni hao watu ili washikishwe adabu. hizi siyo kesi za kuripoti polisi.
 
you must be very very intelligent_huwa sitokez kuchangia ingawa nashinda jf mpaka nipate kuona hoja yenye akili kama ya kwako, tatizo siasa, udini na ukanda na uroho wa kutawala vinawanyima fikra ya kufikir mambo kwa mapana_habar ya Zanzibar( padri na shekh), waandishi wa habar na Arusha(kanisan na leo kwenye kampeni)_watu hawaonekan_sio suala jepes kuwa na such vitual army, hawa ni kundi makin, well trained and organised_tunapokurupuka kwa kunyoosheana vidole, wanafurah hasa wakiamin kamwe hatuwez kuwapata_ni kweli watafanikiwa

Nfiyo maana ninafikirti tuna tatizo kubwa na vyombo vyetu vya usalama! Hatuwezi kuendelea kuruhusu malumbano ya kisiasa na kidini yasiyo na msingi wakati yanapelekea taifa letu kugawanyika.
 
Back
Top Bottom