mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 514
Mosi, mbona Chinga alivyoua kule Zanzibar na hadi tukawa na wakimbizi mbona chama hamkikifuta?
Pili, jiulize anayesababisha ni nani?maanake kwa akili ya kawaida huwezi andaa mkutano then uje uue watu wako.
OK. Kama ilivyothibitika katika baadhi ya matukio, chama tawala kupitia vyombo vya dola kinahusika. Sasa, kwa vile wenyewe hawapo tayari kuacha haya mauaji ya raia wasio na hatia katika mikutano ya Chadema, na kwa kuwa Chadema inapigania haki na amani kwa Mtanzania basi kijifute ili angalau haki ya KUISHI iendelee kuwepo kwa Watanzania! Nasema tatizo hapa ni CHADEMA! Maana kwa vyama vingine vikifanya mikutano hatuoni hivi vifo.