Mkuu wangu,usiweweseke mkuu. waache polisi wafanye kazi zao ili ijulikane mbivi na mbichi
Nashauri msajili wa Vyama akifute Chadema. Vinginevyo yatatokea makubwa zaidi. Wamefanya kila wawezalo kuigombanisha serikali na wananchi wake.
unaandika kwa sababu una chuki, unapotosha na kudanganya..shame on you
mkuu sombombo, kama usipopigwa ban sijui? maana hayo maneno yako ni uchochezi mtupu. si umeambiwa kuwa bomu lilirushwa toka gari la matangazo la chadema? hapi mwigulu anaingiaje?
Tumuogopeni huyu jamaa anayeitwa mwigulu, kuwepo kwake Tanzania itakua haiwezi kukalika tena.
Hautpaswi kukimbilia jibu kuwa ni chama fulani kimehusika moja kwa moja ikiwa hujafanyika uchunguzi kwani kwa kufanya hivyo itatuzuia kuupata ukweli mwingi zaidi wa jambo bado tunapaswa kuupisha uchunguzi ili lipatikane la kuongelewa na kuongeleka
Wewe ni ----- na Senge! Sisi tulikuepo eneo la tukio na sio kweli bomu lilirushwa kutoka gari la matangazo la CHADEMA!! Msipende kushadadia mambo ya uongo kumaanina zako!
Bomu lilirushwa kumlenga Mbowe aliekua akishuka jukwaani kwenda kukusanya Pesa,na baada ya bomu kulipuka watu wakatahayari na kuanza kukimbia kuokoa maisha.
Cha ajabu baada ya bomu kulipuka na kuuwa,Polisi nao wakaanza kupiga risasi hewani na kurusha mabomu ya machozi.
Hadi sasa sijajua haswa lengo la polisi ilikua ni lipi. Nina hasira sana na sipendi kuona mtu mzima unaandika Usenge kama huu!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
Mungu ni mwema...auwaye kwa upanga atauawa kwa upanga!!!
------ wewe,watu wamekufa wewe unaleta porojo,bora nipigwe burnWatakuja na propaganda CHADEMA waliwategeshea wananchi wao bomu kwenye mkutano wao...