Taarifa zilidai kuwa kuna mtu alionekana akirusha kitu kinachodaiwa bomu kwenye eneo la jukwaa karibu na gari la matangazo la chama hicho, lakini alipokuwa akifuatiliwa baada ya kutokea mlipuko huo, polisi nao walikuwa wameanza kudhibiti watu kwa kulipua mabomu ya kutoa machozi na kupiga risasi za moto hali iliyozidisha taharuki.
Kwa nini wtz Mambo Mazito tunayachukulia kiwepesi hivi?
Kwa nini Mambo Mazito tunaingiza tafsiri za kishabiki?
Nimesoma thread nyingi kuhusiana na ajari ya bomu jana. Lakn cha kushangaza watu wamesha fika hatua za kunyosheana vidole.
Tuwaachie polisi wafanye kazi. Kama CCM Inatajwa kuhusika, hata CDM inaweza pia ili kuongeza Mobility ya watu. Politics is a bad game, lakn hata Mahalamia wanaweza kudo like.
Kwa nini wtz Mambo Mazito tunayachukulia kiwepesi hivi?
Kwa nini Mambo Mazito tunaingiza tafsiri za kishabiki?
Nimesoma thread nyingi kuhusiana na ajari ya bomu jana. Lakn cha kushangaza watu wamesha fika hatua za kunyosheana vidole.
Tuwaachie polisi wafanye kazi. Kama CCM Inatajwa kuhusika, hata CDM inaweza pia ili kuongeza Mobility ya watu. Politics is a bad game, lakn hata Mahalamia wanaweza kudo like.
Mimi naona uchunguzi unatakiwa, na kukurupuka kwamba CCM ndio waliotega bomu, au CHADEMA ndio waliotega bomu, kabla ya uchunguzi hakufai.
Mkuu wangu,
Huwa napenda sana kuachia vyombo vya dola kufanya kazi zao lakini wanashindwa ku-deliver! Mathalani, chukulia yule mtuhumiwa ambae anashikiliwa kuhusiana na mlipuko pale Kanisani; hakika hapahitaji shahada ya tafakuri tunduizi kufahamu kwamba yule dogo alitumwa tu; so who're the Mastermind kwenye tukio lile? It's almost two months now or so lakini mastermind hawajakamatwa! Wapi mastermind wa tukio la Kibanda?! Kutokana na hilo, wahalifu wameshagundua kwamba jeshi letu wana mapungufu katika hili na ndio maana wanaendelea kupanga uhalifu coz' wanafahamu hawatajulikana!
Binafsi, naamini matukio mengi yanayotokea ni FRAMING na hamna matukio mabaya kama ya FRAMING/FABRICATED coz' yanapotokea mara nyingi huwa anayedhaniwa kuwa ndiye huwa sie!
mkuu unaropoka tu sasa polisi wamefanya nini bomu limetegwa na wengine wewe unalaumu polisi.
kweli unahasira kamanda na mod wasije wakakupga ban
Anatulete timu kwani tumemwambia tunataka kucheza mpira,timu zake za kipuuzi na hakuna lolote wanalofanya zaidi ya kuficha ukweli.Yeye na timu wakacheze mpira tuuHizi timu maalumu za Kamanda Mwema hazina maana yoyote zaidi ya upumbavu!! Ni mara ngapi hizo timu maalumu zimekuwa zikitumwa kwenye matukio na hatuoni lolote la maana?!
Nakumbuka Ludovick alipojiteka, alijitahidi sana ku act ili ajiondoe mbali kabisa na watuhumiwa ili na yeye aonekane victim.
Hivi kweli waTanzania tumefikia hatua ya kuua ndugu zetu kwa kutaka uongozi wa miaka mi tano? je ingekua ni utawala wa kifalme?
We kiongozi utajibu nini kwa aliyekuumba?,,,its so Sad kwa kweli maana ya Democracy ni nini hasa?