yaani nina hasira mpaka sijielewi nianze kumtukana nani?
yaani nina hasira mpaka sijielewi nianze kumtukana nani?
alaaniwe yeyote anaetekeleza ushetani huu!
kwa mwendo huu tz hatuna amani tena!
hali hii tuipinge kwa pamoja;
tusipokuwa makini, tz itakua kisiwa cha damu!
kwani chanzo cha yote haya ni nini?au ni huu muungano?~kama kuupinga kwenyewe ndio huku, basi tuuvunje tu!
Poleni. Siasa uchwara na uroho wa madaraka ndiyo chanzo cha haya.
OK. Kama ilivyothibitika katika baadhi ya matukio, chama tawala kupitia vyombo vya dola kinahusika. Sasa, kwa vile wenyewe hawapo tayari kuacha haya mauaji ya raia wasio na hatia katika mikutano ya Chadema, na kwa kuwa Chadema inapigania haki na amani kwa Mtanzania basi kijifute ili angalau haki ya KUISHI iendelee kuwepo kwa Watanzania! Nasema tatizo hapa ni CHADEMA! Maana kwa vyama vingine vikifanya mikutano hatuoni hivi vifo.
binafsi napata wasiwasi sana kwa mwendeno wa vyama vyote vya siasa humu nchini, hivi watanzania tunasahau kauli zilizokuwa zikitumika na viongozi wetu wa vyama, mfano mdogo ni ule wa kiongozi mmoja wa CDM aliposema wataenda ikulu hata kwa kumwaga damu, tubaini viongozi wetu na tuache ushabiki wa vyama tuijenge tanzania kwa misingi ya uzalendo na sio kudiriki kuua watu innocents ili tufikie malengo yetu ya kushika dola.
Naam,Na uwezo wa Uongozi hawana.Maisha yanazidi kuwa Magumu kila Kukicha.Inflation,Corruption,Nepotism etc is common.Acheni Wananchi wajichagulie Viongozi wanaowapenda kwa Uhuru.Hakuna Mtu anayekubali kuongozwa Kibabe Milele.
Viongozi wa chadema wajiangalie sana, mwigulu alimpania sana mnyika kule Ndago, bahati yk wafuasi wa chadema na wananchi kule singida walisimama kidete, hakuna kiöngozi katili ndani ya ccm kama mwigulu nchemba, ni mtu hatari sana kwa usalama wa watanzania!