asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Bila kujali itikadi ya vyema vyetu watanzania tuungane pamoja katika hili la mabomu tulaani vitendo hivi vua kigaidi .....Tanzania yangu
kamwambie mwigulu na wafuasi wake waache vitendo vya kigaidi, hata siku moja mbinu za kikatili hazijawahi kushinda nguvu ya umma katika historia ya dunia hii.
