Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Leo nilikuwa kwenye mkutano wa cdm ktk viwanja vya soweto ambambapo nilishudia mkutano ukiisha kwa bomu kurushwa karibu na jukwaa la viongozi wa cdm. Mkutano ulikuwa umefurika watu wengi na kusababisha mikutano ya vyama vingine ccm na cuf kukosa watu na kujihutubia wenyewe. Zifutazo ni picha na damu iliyomwagika baada ya mlipuko.
mkuu hizi siasa za uzushi na uongo zitafika tu mwisho wake mnataka kutuambia mikutano yote ya chadema imelipuliwa kwa mabomu watanzania wakiwajua sijui mtajificha wapi.
 
Mkuu unachosema ni kweli, manake mrusha bomu alisubiri mpaka alipoteremka Lema na Mbowe ndiyo bomu likarushwa, na inavyoonyesha alichelewa kurusha kutokana na umati mkubwa uliokuwepo pale!
It is my impression that walengwa walikuwa Mbowe na Lema

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

imeripotiwa hapa na mtoa baadhi ya maiti yana matundu ambayo yanasadikiwa ni risasi that means kwenye hyo saga kuna snipers walikuwemo humu ili vurugu za mabomu zikianza wawa target mbowe na lema sema walimiss target wakalenga watu wengine aisee hii ni hataree.
 
Sasa naanza kuziona dalili za nchi kutotawalika. Mungu atusaidie tuepukane na huki tunakoelekea.

Mkuu umeona eeh lakini walisema hawa tena bayana....hawa jamaa washaiharibu AR, kwa kweli katika mikoa sitaki kwenda ni AR maana Lema lol kashaiharibia AR sifa zote za zamani
 
Yupo wapi Chris Lukosi ajiangalie alivyokuwa mtetezi wamaovu na nyumba ya shetani?Wapo wapi wana mapinduzi wote walionunulika na CC kirahisi?Wapo wapi wasomi waliosoma historia za kupika, na leo hawana misingi imara ya ku defien utu wao?Wapo wapi akina Augustino Mrema alioanguka kirahisi na sasa kila kauliza zao zinawapa uajsiri waovu?

Wapo wapi wana CCM ambao hawakuwahi jua kuwa kuwa CCM ni kupotea?
 
Kituo hiki kinachojitambulisha kuwa ni Independent kimerusha tukio la Arusha kama sio muhimu huku kikipotosha kuwa watu saba wamejeruhiwa. Ni kitendo kisichokuwa cha kizalendo kabisa. taarifa muhimu ilikuwa mikutano ya CCM arusha na monduli.

Ikumbukwe kuwa Arusha watu wamekufa palepale kwenye tukio lakini kwa uzandiki wao wakasema wamejeruhiwa watu saba. KAma wameweza kupata habari za uganda na kenya ambazo ni za leo wameshindwa vipi kupata habari za Arusha????

Naona lengo bado ni kuwasaidia CCM kwenye kura za kesho lakini kwa damu za watanzania. Tumeshuhudia hawahawa akina MCT na kung'olewa kucha lakini watetezi wao ripoti mbaya kama hii ya Arusha haikuwa habari kwao bali maandamano ya askari zanzibar.

Shame on them!!
 
Ni vema sasa viongozi wa CDM wakakubali kukifuta chama hiki kwa nia njema tu; maana isingekuwa CDM waliokufa sehemu mbali mbali za nchi hii bado tungekuwa nao! Kuanzia wana habari hadi watoto wasio elewa chochote.
Au mnadhani salamu za pole toka kwa viongozi wa CDM zinatusaidia chochote? Na je ni kweli kwamba uwezo wao umeishia kwenye salamu za pole?
 
• Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!

• Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?
 
Nani kakuongopea? Hao ni CDM walio sema nchi haitawaliki.
ni vp lingelipuka katika mkutano wa ccm???? naamini mngesema chadema pia,sasa nawashangaa sana nyie wanaccm kwa kweli akili zenu sijui zikoje kwakweli yaaan basi tu nasije pata ban ila hakuna mwenye maisha ya milele hapa diniani fanyeni yoote lakini hamta ishi daima, yale mnayo wafanyia wenzenu katika uhai wao hayata pita bure na mtatamani kuwaomba msamaha wale mli watendea madhila makubwa lakini kwa wakati huo nafasi hiyo haita kuwepo.
 
imeripotiwa hapa na mtoa baadhi ya maiti yana matundu ambayo yanasadikiwa ni risasi that means kwenye hyo saga kuna snipers walikuwemo humu ili vurugu za mabomu zikianza wawa target mbowe na lema sema walimiss target wakalenga watu wengine aisee hii ni hataree.

Mungi kichwa yako inashida wee ni mpiga ramli? Ati bomu lilikuwa linamlenga Mbowe na Lema acha porojo zako wewe. Tusubiri taarifa kamili ndio madhara ya kusema nchi haitatawalika si mnaona? Endeleeni tu na janja ya nyani yenu
 
Wakuu hivi ni vitu vilivyoaandaliwa kunamtu mwingine kaposti huu eti kwenye mkutano wa chadema mbeya nao umerushiwa bomu wakuu haya mambo wanapanga na kutekeleza wao wenyewe chadema sijui wanataka jamii tuelewe nini.
 
kwa zanzibar ni uamsho ndio msitu wao ,je? arusha sasa watangnyika mutakaa na kutuliza akili zenu

wale wanaosema muungano ukivunjika wazanzibar watabaguana na kuuwana je? nani anauhakika kama tanganyika itakuwa salama

watu wakidai haki yao musiwabebeshe makosa ambayo hawanayo sasa hili tukio na matukio haya ya kinyama nana anayafanya kama sio serekali ya muungano usalam wa taifa na polisi na CCM

waliyafanya zanzibar ccm na wahafidhina sasa yamehamia mrima
 
Ni vema sasa viongozi wa CDM wakakubali kukifuta chama hiki kwa nia njema tu; maana isingekuwa CDM waliokufa sehemu mbali mbali za nchi hii bado tungekuwa nao! Kuanzia wana habari hadi watoto wasio elewa chochote.
Au mnadhani salamu za pole toka kwa viongozi wa CDM zinatusaidia chochote? Na je ni kweli kwamba uwezo wao umeishia kwenye salamu za pole?

Mosi, mbona Chinga alivyoua kule Zanzibar na hadi tukawa na wakimbizi mbona chama hamkikifuta?
Pili, jiulize anayesababisha ni nani?maanake kwa akili ya kawaida huwezi andaa mkutano then uje uue watu wako.
 
This is unacceptable, serikali ya ccm imefikia pabaya. Jumuiya ya kimataifa tunaomba msaada.
 
Kulihusisha ili tukio na mambo yenu ya kisiasa ni upuuzi.Kuna kirusi kinaitafuna nchi yetu tuzinduke jamani.So sad
 
imeripotiwa hapa na mtoa baadhi ya maiti yana matundu ambayo yanasadikiwa ni risasi that means kwenye hyo saga kuna snipers walikuwemo humu ili vurugu za mabomu zikianza wawa target mbowe na lema sema walimiss target wakalenga watu wengine aisee hii ni hataree.

Mwisho wao haupo mbali sana....CCM ni km appendix..Mwalimu hakupaswa kuifanya TANU chama cha kitaifa.CCM ni reject ktk vyama.TANU na CCM havijawahi kuwa vyama vya kitaifa.vilipelekwa mikoani ila bado ni chama cha watu wa pwani,wenye dini yao n autamaduni wao.Ndio maana fikra zao haziwezi kuwa za kitaifa na upeo wa maamuzi ya chama ni wa makuli na wacheza bao siku zote. I wonder km LOWASA nae atakuwa salama...target ni kiongozi mwenye aisli ya kaskazini...na dini ya inayoshabihiana katoliki.
 
• Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!

• Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?
Mkuu achana nao hao!
 
Wa kwanza kukamatwa ni Mwigulu Nchemba,alitengeneza uongo mweusi,kiasi kwamba hata Shetani haujui,sasa matokeo ya uongo ndio huo wa kuua.
 
Back
Top Bottom