Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Hivi kweli waTanzania tumefikia hatua ya kuua ndugu zetu kwa kutaka uongozi wa miaka mi tano? je ingekua ni utawala wa kifalme?
We kiongozi utajibu nini kwa aliyekuumba?,,,its so Sad kwa kweli maana ya Democracy ni nini hasa?
 
Mbunge anahusikaje hapa acha upofu wa akili. Mbunge wa ajabu kwa lipi ?HV Nchemba na Lema nani wa ajabu?
Ungezaliwa 1953 lazima ungemwona Nyerere mtu wa ajabu huku ukiwatukuza wakoloni

nchemba ni dawa ya maumivu na sikio...nakushangaa cjui kwann unamtaja hapa, au unaumwa na sikio.
 
Sasa napata picha halisi kua mtuhumiwa anayeshikiliwa na jeshi la Polisi Arusha kwa mlipuko wa mabomu katika Parokia ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Olasiti sio muhusika wa tukio lile!
 
Mkuu umeona eeh lakini walisema hawa tena bayana....hawa jamaa washaiharibu AR, kwa kweli katika mikoa sitaki kwenda ni AR maana Lema lol kashaiharibia AR sifa zote za zamani

Acha ujinga wewe boya unashangilia vifo ulivyovitengeneza mwenyewe halafu unaandika utumbo hapa eti hutaki kwenda Arusha wakati umepiga kambi huko. Kuna mijitu mingine mnaishi kwa bahati mbaya tu mlipaswa kuwa makaburini, hata hivyo siku yako itakufika tu usijione mjanja sana kwa Mungu hakuna mjanja.
 
• Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!

• Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?

Wee Mtoi unataka kiongozi gani wa serikali Kama RC na DC wapo kwenye tukio zima na wametuambia nini kimetokea. Ulikuwa unamtaka nani zaidi? Dr Slaa mbona na yeye hayupo kaishia kutuandikia humu JF pekeyake yupo ughaibuni akila maraha na Bi Jose
 
Mungu atawabariki na kuwalinda,lakini kumbukeni kuwa,
1.hawa waliojeruhiwa ni wanachama wenu
2.CCM wanataka kushinda huo uchaguzi kwa namna yoyote ile,
3.Mnajua wanachokifanya muda huu?nyie mnahangaika na majeruhi wenzuni wanahangaika kuchakachua kura kesho na kuandaa ushahidi wa kuwaumiza katika siku zijazo.
4.Angalieni isijekuwa mmejipanga sehemu moja,hawa jamaa wana polisi,wakuu wa wilaya nk,na woote hao wana nguvu ya kiutendaji,kuweni makini sio bure,kuna jambo linaendelea hapo.
 
Tusubiri taarifa kamili wee upo kakonko ushabiki wa nini utafikiri upo AR? Acha umbea mtoto wa kiume utasutwa bure
Taarifa ipi tena haijulikani isubiriwe?Km ya mwangosi?

teh tehe...wanatoa "Mfumo Kristu".na "Mfumo Kaskazini".Jana Tuu nimeweka thread ya "Ukanda, ukabila ".Kutaka chuki dhidi ya wachaga ijadiliwe na kusemwa wazi.Hata ktk hao polisi waliokubali tumia silaha utakuta pamoja na mambo mengi waliyoahidia bado walilainishwa mioyo kwa ile "chuki dhini ya wachaga", "wakaskazini". SIJUI UKASKAZINI WA LOWASA NAO UTAMKWEPAJE ktk hili janga.
 
Hvi mnaoandika hasa ww uliyesema mlikuwa kwenye kikao na mkuu wa mkoa we ulihuska kama nan na taarifa zako znaushahid au unaropoka 2 kama una ushahid weka audio ya mazungmzo then yote yanawezeka either CDM ndo wamelipua ili wasingzie ccm au CCM so mcijitie ndo mnajua sana kuanza kunyooshea vodole wa2 kama huna uhakika

Then IKUMBUKWE hapa sio sehem ya campen so ongeen point

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Juliana,s second sex
 
Wa kwanza kukamatwa ni Mwigulu Nchemba,alitengeneza uongo mweusi,kiasi kwamba hata Shetani haujui,sasa matokeo ya uongo ndio huo wa kuua.

hizi ni ishu za lwakatare na wale vijana wake waliomtishia kumuua kwa bastola mamake zitto
 
• Hadi sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa serikali amefika eneo la tukio wala hospitalini!

• Ni masaa 4 sasa baada ya tukio, tukio limetokea around 12 kasoro robo hivi, hadi sasa hakuna mahali wameonekana. Je ni guilty consciousness?
Mungu atawabariki na kuwalinda,lakini kumbukeni kuwa,
1.hawa waliojeruhiwa ni wanachama wenu
2.CCM wanataka kushinda huo uchaguzi kwa namna yoyote ile,
3.Mnajua wanachokifanya muda huu?nyie mnahangaika na majeruhi wenzuni wanahangaika kuchakachua kura kesho na kuandaa ushahidi wa kuwaumiza katika siku zijazo.
4.Angalieni isijekuwa mmejipanga sehemu moja,hawa jamaa wana polisi,wakuu wa wilaya nk,na woote hao wana nguvu ya kiutendaji,kuweni makini sio bure,kuna jambo linaendelea hapo.
 
Yupo wapi Chris Lukosi ajiangalie alivyokuwa mtetezi wamaovu na nyumba ya shetani?Wapo wapi wana mapinduzi wote walionunulika na CC kirahisi?Wapo wapi wasomi waliosoma historia za kupika, na leo hawana misingi imara ya ku defien utu wao?Wapo wapi akina Augustino Mrema alioanguka kirahisi na sasa kila kauliza zao zinawapa uajsiri waovu?

Wapo wapi wana CCM ambao hawakuwahi jua kuwa kuwa CCM ni kupotea?
Mkuu mimi nahusika vipi na hili suala la kigaidi?
Una uhakika gani na unayoyasema kwa kuilaumu CCM
Sitaki kusema mengi lakini ujue kuwa kuna watu wanataka madaraka kwa gharama yoyote ile. Wanaweza kutumia mbinu zozote zile hata kuua raia wasio na hatia ili kupata attention na kuchonganisha raia na serikali iliyopo madarakani.

Lakini mengi yanawezekana, inawezekana pia watu wasiotutakia amani wakawa wanafanya hayo makusudi wakijua kuwa badala ya kutafuta mchawi sisi tutakuwa bize kunyoosheana vidole, usisahau juzi tu bomu limelipuka kanisani na leo linalipuliwa kwenye mkutano wa chadema ili kuchanganya watu wasahau ya udini wadhani ni siasa.

Lolote lawezekana. Tuwaachie polisi waendelee na uchunguzi na kama kuna anye jua lolote litakalo wasaidia polisi atoe msaada kwa kupiga simu tu sio lazima uende kituoni.

Tuweke siasa pembeni tuwaombee majeruhi wapone haraka na tuungane na familia za waliofiwa kuomboleza, hili sio suala la kulumbana kisiasa, lazima tukae tujiulize nani anatuletea hofu kwenye nchi yetu tuliyokuwa tunaishi kwa amani.

NAWAPA POLE NDUGU ZANGU WA ARUSHA, TUOMBE MUNGU ATUWEZESHE KUMPATA ADUI
 
Wee Mtoi unataka kiongozi gani wa serikali Kama RC na DC wapo kwenye tukio zima na wametuambia nini kimetokea. Ulikuwa unamtaka nani zaidi? Dr Slaa mbona na yeye hayupo kaishia kutuandikia humu JF pekeyake yupo ughaibuni akila maraha na Bi Jose
the difference btn stupidity and genius is that genius has its limits
 
Hizi ni mbinu za kijinga sana zinazotumiwa na ccm ni mbinu ambazo hazidumu...ni mbinu zinazo zidi kuiua ccm....ni mbinu zinazozidisha hasira kwa wananchi dhidi ya ccm.....wananchi wa arusha wanalalamika watu wanatoka mb kwa mbeya na singida kwenda kuwaua kwa mabomu kisa hawaitaki ccm...ni malalamiko hatari kuyasikia kama una akili..
 
Kila mmoja wetu kwa imani yake aiombee amani nchi yetu aliyotuzawadia Mwenyezi Mungu kwa mapenzi yake. Yangu ni hayo tu.
 
Acha ujinga wewe boya unashangilia vifo ulivyovitengeneza mwenyewe halafu unaandika utumbo hapa eti hutaki kwenda Arusha wakati umepiga kambi huko. Kuna mijitu mingine mnaishi kwa bahati mbaya tu mlipaswa kuwa makaburini, hata hivyo siku yako itakufika tu usijione mjanja sana kwa Mungu hakuna mjanja.

Pole sana kwa kuumia lakini ndio ukweli. Mbona zamani AR haikuwa Kama Leo? Kosa langu lipi hapa kusema ukweli? Tunasikitika sana kwa Vifo na majeruhi Mungu aziweke roho zao peponi na majeruhi wapate afya ASAP
 
Back
Top Bottom