Katika watu wanao changia hii habari ya arusha sijaona mtu mwenye mawazo ya kusema watanzania tufanye nn zaidi hapa siasa tupu tena za ushabiki zisizokuwa na mustakabali wa maendeleo wote mara ccm mara chadema mara Lema mara Mwigulu,hata Rwanda na Burundi walisingizia ukabila yaliyotokea baadae Mungu anajua,wana jamvi kuweni waelewa na watu wakutafuta suluhu ya matatizo ya watanzania na sio siasa,siasa ndio umaskini wetu watu wadogoMbunge anahusikaje hapa acha upofu wa akili. Mbunge wa ajabu kwa lipi ?HV Nchemba na Lema nani wa ajabu?
Ungezaliwa 1953 lazima ungemwona Nyerere mtu wa ajabu huku ukiwatukuza wakoloni
watu kama wewe ninahofu sana na nyie na mtatufanya turudi nyuma na tuwaangalie vizuri nyie mnaoandika coment kama hizi lazima mnajua mnachokifanya na pasipo shaka mnahusika.Mwigulu tunafahamu unahusika kwa asilimia miamoja na ndo maana uliwatahadharisha wananchi wa arusha wasihudhurie mkutano wa cdm, umeamua kutumia mbinu km uliyotumia kuanzisha vurugu kwenye mkutano wa cdm jimboni kwako
Sote tunapaswa kulaani vitendo vya kuvuruga amani nchini. Twaweza kutofautiana kisiasa na kimtazamo bila ya vurugu. Tuweke Utaifa wetu mbele badala ya ushabiki wa vyama vyetu. Inawezekana! Pole zangu kwa wale wote walioathirika na mlipuko huu uliotokea Arusha.
Watu tusikurupuke kutoa judgement sa hivi tusubiri undani wa habari.. Jamani mtupatie updates
Ukisikiliza kauli za mwigulu akiwa arusha hasa baada ya kuona mikusanyiko ya chadema ina watu wengi zaidi ya ile ya ccm, kuna uwezekano mwigulu anafanya hivyo ili kuogopesha watu wasiende kwenye mikusanyiko ya chadema.
Kauli kama 'nzi hata wakusanyike wengi vipi hawawezi kutengeneza asali' ina maana ametambua kuwa amezidiwa na chadema kwenye kuvuta watu mikutanoni Jaribu kufuatilia hotuba za mwigulu arusha na tulia sikiliza na upambanue kwa makini utagundua kitu.Mwigulu alienda china kama nani kwa nchi hii na alienda kujifunza nini? mpaka anavaa ile nyota maana yake amehitimu kitu fulani kule china, sijui kama unafahamu siasa za china na russia zinavyoendeshwa.
Tusubiri taarifa kamili wee upo kakonko ushabiki wa nini utafikiri upo AR? Acha umbea mtoto wa kiume utasutwa bureChina comrade: watanzania tuliwaambia sana kuwa mchina si mtu, na wampendaye husema misaada yake haina string attached...Kwa wakubwa kwa vile china hata silaha ya kumuua ngugu yako atakupa na ukimuua ndugu yako ,wengine wakipiga kelele anasema huwa haingilii mamabo ya ndani ya nchi za watu...Huyo ndio comrade ambaye watanzania mliuziwa propaganda za "wapiga matarumbeta wa political science wa mlimani"
at least update zako zimetulia na zina akili,mbona vyombo vya habari havitaji kuwa watu wamekufa?
Mbona mauaji TZ hutokea kipindi ambacho JK anakuwa kwenye utalii wa nje??