Tunaomba jeshi la polisi liachwe lifanye kazi yake pia polisi wawe fair wasiegemee upande wowote hii ni hatari sana..!
And do u think this Policcm wont be biased?U must be dreaming...
Tunaomba jeshi la polisi liachwe lifanye kazi yake pia polisi wawe fair wasiegemee upande wowote hii ni hatari sana..!
In my little wisdom what I have written is thinking outside the box!Think outside the box! Fikra mgando.
polisi wanatumika.[/QuUOTE]
usiku huu Mwingulu Mchemba amehamishwa HOTELINI na maaskari kwa usalama wake alikuwa hapa Sterio Hotel chumba namba 214 na haijulikani amehamishiwa wapi na walizima taa zote wakampitisha Jikoni na kuelekea kusikojulikana
Nadhani umenisoma....nimekuambia upo wapi ujitazame upime mchango wako wa kushangilia na kutetea uovu navyotafuta watu wako.Nasema watu wako kwa vile ktk kia watu kuna watu wengi sana unaoweza jinasibu nao km watu wa kundi lako..arusha kuna wanyalu wengi tuu wanaoipenda CDM huku wakifikiri jinsi ya kurudi na kuinua mkoa wao,kuna aksari polisi wengi tuu ambao na wewe uliwahi kuwa polisi, kuna watu wa dini yako, kuna watu wa rika yako, kuna watu wenye interest ningi km zako, na watu wote ni binadamu km wewe mabo ungeweza watetea mkia ktk kundi la simba....Leo upo too naive hujaona wapi ulikosea njia.Hujaona wapi maisha yako yangenkwenda bila "Jisalimisha kwa adui".Mkuu mimi nahusika vipi na hili suala la kigaidi?
Una uhakika gani na unayoyasema kwa kuilaumu CCM
Sitaki kusema mengi lakini ujue kuwa kuna watu wanataka madaraka kwa gharama yoyote ile. Wanaweza kutumia mbinu zozote zile hata kuua raia wasio na hatia ili kupata attention na kuchonganisha raia na serikali iliyopo madarakani.
Lakini mengi yanawezekana, inawezekana pia watu wasiotutakia amani wakawa wanafanya hayo makusudi wakijua kuwa badala ya kutafuta mchawi sisi tutakuwa bize kunyoosheana vidole, usisahau juzi tu bomu limelipuka kanisani na leo linalipuliwa kwenye mkutano wa chadema ili kuchanganya watu wasahau ya udini wadhani ni siasa.
Lolote lawezekana. Tuwaachie polisi waendelee na uchunguzi na kama kuna anye jua lolote litakalo wasaidia polisi atoe msaada kwa kupiga simu tu sio lazima uende kituoni.
Tuweke siasa pembeni tuwaombee majeruhi wapone haraka na tuungane na familia za waliofiwa kuomboleza, hili sio suala la kulumbana kisiasa, lazima tukae tujiulize nani anatuletea hofu kwenye nchi yetu tuliyokuwa tunaishi kwa amani.
NAWAPA POLE NDUGU ZANGU WA ARUSHA, TUOMBE MUNGU ATUWEZESHE KUMPATA ADUI
Leo mnataka CUF na vyama vingine viwaunge mkono kwa lipi? Nyie si mnaanza na Mungu na Mnamaliza naye hofu ya nini sasa?
polisi wanatumika.[/QuUOTE]
usiku huu Mwingulu Mchemba amehamishwa HOTELINI na maaskari kwa usalama wake alikuwa hapa Sterio Hotel chumba namba 214 na haijulikani amehamishiwa wapi na walizima taa zote wakampitisha Jikoni na kuelekea kusikojulikana
Anajipongeza kwa kazi anazofanya.Mwigulu ataingiza hii nchi matatizoni.
In my little wisdom what I have written is thinking outside the box!
Taarifa ipi tena haijulikani isubiriwe?Km ya mwangosi?
teh tehe...wanatoa "Mfumo Kristu".na "Mfumo Kaskazini".Jana Tuu nimeweka thread ya "Ukanda, ukabila ".Kutaka chuki dhidi ya wachaga ijadiliwe na kusemwa wazi.Hata ktk hao polisi waliokubali tumia silaha utakuta pamoja na mambo mengi waliyoahidia bado walilainishwa mioyo kwa ile "chuki dhini ya wachaga", "wakaskazini". SIJUI UKASKAZINI WA LOWASA NAO UTAMKWEPAJE ktk hili janga.
acha kutuletea habari za ajabu wewe mlishasema nchi haitatawalika halafu unaandika mambo ya ajabu humu tukueleweje na sijui aliyeenda ulaya atakuja na lipi tena tutashuhudia mengi sana.Mungu atawabariki na kuwalinda,lakini kumbukeni kuwa,
1.hawa waliojeruhiwa ni wanachama wenu
2.CCM wanataka kushinda huo uchaguzi kwa namna yoyote ile,
3.Mnajua wanachokifanya muda huu?nyie mnahangaika na majeruhi wenzuni wanahangaika kuchakachua kura kesho na kuandaa ushahidi wa kuwaumiza katika siku zijazo.
4.Angalieni isijekuwa mmejipanga sehemu moja,hawa jamaa wana polisi,wakuu wa wilaya nk,na woote hao wana nguvu ya kiutendaji,kuweni makini sio bure,kuna jambo linaendelea hapo.