Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Mwigulu ni wa kuuwa, popote alipo. hao polisi kwa nini wamemtorosha usiku hotelini Stereo? Kwanini wasimtafute na Lema/Mbowe wamtoroshe?
Mwigulu sijui utaishi vp hapa TZ
 
Chadema itasambaratika 2014-15 -by wassira, swali je ndio wameanza kwa kubambikizia watu kesi? Baada ya polis kushindwa kudhibit mikutano ya cdm, sasa wameamua kuua kabisa watu waogope? Vip kuhusu pendekezo la msajil wa vyama kutaka baada ya uchaguz vyama visifanye mikusanyiko mpaka uchaguz mwingine? Chadema itadumu hata mkiua wote,kwan mtasalitiana na mioyon mtaipenda tu.wasira ahojiwe.
 
Hii ni taarifa ya msemaji wa jeshi la Polisi.

" kufuatia tukio lililotokea maeneo ya Soweto mkoani Arusha la mlipuko wa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema, ametuma timu maalum kutoka Makao Makuu ya Polisi ikiongozwa na kamishina Chagonja na kamishina Mngulu kwenda kuongeza nguvu mkoani Arusha. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa eneo la tukio mkoani Arusha.
Advera Senso- Msemaji Jeshi la Polisi".
Hizi timu maalumu za Kamanda Mwema hazina maana yoyote zaidi ya upumbavu!! Ni mara ngapi hizo timu maalumu zimekuwa zikitumwa kwenye matukio na hatuoni lolote la maana?!
 
Kwa vile mzee wa mipango anatoka Iramba na si Arusha. Arusha ndipo target yake, ukabila ndio msingi wake wa Fikra. CCM hawajaanza leo kuwafuta wachaga kila mahali ktk vita yao ya kuangamiza wachaga....hata Mengi kakumbana sana na haya mambo.....ya hawa wauza nchi wa karne hii.
Hivi Wachaga wanatoka Arusha!!!!?? Kama shida ni Wachaga kwanini matukio yasiendelee na maeneo mengine (inlcuing eneo lingine watokalo Wachaga la Arusha) kama vile mkoa wa Kilimanjaro excluding few parts za mkoa huo ambako hakuna Wachaga?!
 
R.I.P makamanda, damu yenu imemwagika leo,pengine kesho yangu,mawazo yenu na matumain tutayapigania,ni lazima tupite ktk bonde la uvuli na kifo tena na tena kutetea walio na matumain ya maisha bora! Mmetangulia! Mmetanguli! Mmetangulia! Damu yenu na itupe ujasiri! Watetezi tuliobak pia tutakufa! Je watesi watabak milele?
 
Du!! Kumbe Green Guard wamefundishwa hadi na utaalam wa kurusha mabomu eh!
 
R.I.P makamanda, damu yenu
imemwagika leo,pengine kesho yangu,mawazo yenu na matumain
tutayapigania,ni lazima tupite ktk bonde la uvuli na kifo tena na tena
kutetea walio na matumain ya maisha bora! Mmetangulia! Mmetanguli!
Mmetangulia! Damu yenu na itupe ujasiri! Watetezi tuliobak pia tutakufa!
Je watesi watabak milele?

naamini kuwa bomu lile nchemba na ccm hawahusiki kabisa. lilikusudia kuwapoteza wafuasi wa chadema bila ya kuwadhuru viongozi wakuu kwa matamanio ya kuwajengea chuki wananchi dhidi ya ccm ili washinde viti vya udiwani
 
Wakuu nitawapa updates soon
=====
Updates:

Mkutano ulishaisha, Mbowe akaanza kukusanya michango kama ilivyo kawaida kwa mikutano ya CHADEMA, ndipo ghafla kijana mmoja aliyekuwa amevaa kaptula ya jeans iliyoraruka kidogo akarusha bomu wakafa watatu

Hivi ktkt hili polisi walihitaji kulipua mabomu ya machozi na kupiga risasi za moto hewani...mbona sielewi nia yao hasa ilikuwa ni ipi? Bomu limelipuka watu wametaharuki wanakimbia kuokoa maisha yao then.mabomu ya machozi na risasi kweli? walikuwa wanatuliza fujo zipi labda? sasa waliwatawanya watu walikuwa wakitawanyika kwa hiyari yao na kuacha kumfuatilia kijana alieonekana akituopa bomu hilo? hii ilifanyika kwa nia ipi hasa??? eh? hiyo ndio "nnji" yetu bana.
 
Nchemba ndo anayepanga nani ahojiwe nani aachwe!, anajua hadi idadi ya wajumbe wa tume ya uchunguzi na majibu watakayo toa anayo!. Nani wa kumhoji?

Hivi ktkt hili polisi walihitaji kulipua mabomu ya machozi na kupiga risasi za moto hewani...mbona sielewi nia yao hasa ilikuwa ni ipi? Bomu limelipuka watu wametaharuki wanakimbia kuokoa maisha yao then.mabomu ya machozi na risasi kweli? walikuwa wanatuliza fujo zipi labda? sasa waliwatawanya watu walikuwa wakitawanyika kwa hiyari yao na kuacha kumfuatilia kijana alieonekana akituopa bomu hilo? hii ilifanyika kwa nia ipi hasa??? eh? hiyo ndio "nnji" yetu bana.
 
Du!! Kumbe Green Guard wamefundishwa hadi na utaalam wa kurusha mabomu eh!

mkuu, mafunzo hayo wamepata baadhi ya vijana wa kikosi maalum cha chadema ili kuwahadaa wananchi kuwa ccm ndo wanaotekeleza mipango hiyo
 
Kuna video mwigulu akiutubia wananchi wa kimandolu na kuwaambia msipoichagua ccm watu wa arusha mtakufa
yale aliyoyasema yametimia,wakati wa mlipoko kuna kiongozi wa ccm halikuwepo pale uwanjani bw gasper kishumbua polisi mkamateni na kumuoji .
 
Mwigulu ni wa kuuwa,
popote alipo. hao polisi kwa nini wamemtorosha usiku hotelini Stereo?
Kwanini wasimtafute na Lema/Mbowe wamtoroshe?
Mwigulu sijui utaishi vp hapa TZ

mkuu sombombo, kama usipopigwa ban sijui? maana hayo maneno yako ni uchochezi mtupu. si umeambiwa kuwa bomu lilirushwa toka gari la matangazo la chadema? hapi mwigulu anaingiaje?
 
Hizi timu maalumu za Kamanda
Mwema hazina maana yoyote zaidi ya upumbavu!! Ni mara ngapi hizo timu
maalumu zimekuwa zikitumwa kwenye matukio na hatuoni lolote la
maana?!

usiweweseke mkuu. waache polisi wafanye kazi zao ili ijulikane mbivi na mbichi
 
hivi ktkt hili polisi walihitaji kulipua mabomu ya machozi na kupiga risasi za moto hewani...mbona sielewi nia yao hasa ilikuwa ni ipi? Bomu limelipuka watu wametaharuki wanakimbia kuokoa maisha yao then.mabomu ya machozi na risasi kweli? Walikuwa wanatuliza fujo zipi labda? Sasa waliwatawanya watu walikuwa wakitawanyika kwa hiyari yao na kuacha kumfuatilia kijana alieonekana akituopa bomu hilo? Hii ilifanyika kwa nia ipi hasa??? Eh? Hiyo ndio "nnji" yetu bana.
mkuu hii kitu imepangwa, wanao tegemea uchunguzi wa polisi watasubiri sanaaaaaaaaa. Jiulizeni majibu ya uchunguzi wa polisi ni yapi ktk matukio kama haya? Anzeni na tindikali usoni mwa kubenea............
 
Bado tutasingizia Waarabu tena? CCM kubalini tu kushindwa. Mkituua mtamuongoza nani?

nadhan ni makosa kudhan kuwa ccm ndo wanafanya matukio hayo. ccm ipo kila kona ya nchi hii. kwa nini iwe arusha tu? bila shaka siasa chafu za lema ndo chanzo
 
Kwa mambo Haya ya mabomu arusha kwa Kweli sasa tunaitaji nguvu ya uma,amani imeenda wapi Tanzania? Tunatoana roho wenyewe kwa wenyewe.
 
Mungu ni mwema...auwaye kwa upanga atauawa kwa upanga!!!
 
Back
Top Bottom