HT
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,897
- 414
Last edited by a moderator:
Bomu ya leo itatoa siri nyingi sana....itajibu hadi olasiti....bomu hiyo si ya kutengeneza mitaani...bomu halisi la kiwandani..Na mataifa makubwa yanajua hadi serial numbers na type..Labda kama ni ya china ndipo itakuwa siri.Ila siku yanapiga raia wa kichina ktk migodi haramu China nao watasema kitu.
Hilo bomu km limetok aktk maghala yetu itajulikana, km limetoka somalia pia itajulikana tuu.
Tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake maana humu kila mtu anaongea la kwake ambalo halina ushahidi wa kutosha. Inawezekana kuna kikundi kinachojihusisha na maswala haya ya ulipuaji wa mabomu mjini Arusha.
mkuu huwezi kudanganya watu wazima na maneno yako ya kichochezi wewe lazima utakuwa umehusika na mpango mzima nyie mnaujua mmetumwa kuja kutuhadaa unajifanya unahasira za kinafiki mnapanga maujia unajifanya kumtaja mwigulu na kwa nini umemuona mwigulu tu kama huna lako jambo dhidi ya mwigulu.Upuuzi huu hautovumilika!!!! Magazeti yaliandika hivi karibuni juu ya makambi ya kigaidi ya ccm hakuna vyombo vya serikali vilivyochukua hatua, naona hii kitu imepangwa na ccm na serikali yake!!!! ifike mahali akina Mwigulu wakionekana wapigwe mawe!!! damu kwa damu!!! Tumechoka na ujinga huu!!!
Vyombo vya usalama vya nchi gani???!!! usitoe comment vile tu unaweza kubonyeza keyboard!!! Kuuawa kwa Padre Mushi uchunguzi gani umezaa matunda? Bomu la Arusha Kanisani nani katiwa hatiani? na mengine mengi!!!
we mpaka leo hujui mtu aliyetiwa mbaloni kwa bomu la arusha kwa taarifa yako chama chako ndicho kinahusika na kuandaa mpango wa kuripua kanisa ngoja kesi ianze na yule kijana aanze kuongea mpango wote hizo sura sijui mtazificha wapi.
chadema hawahitaji huruma arusha!Mpaka sasa nashindwa niseme nini maana inawezekana ni CCM ili wawatishe watu kesho kwena kupiga kura, wapate kusema CDM ni wavurugu.
Part B ni CDM wanaweza wakawa ndio wametengeneza skendo ili wapate kura za huruma, wapate cha kusema baada ya kushindwa kisingizio kiwepo wapiga kura walitishwa
uhusika wa ccm upo wazi! Mwigulu amejitolea/amewekwa mstali wa mbele tumkuu huwezi kudanganya watu wazima na maneno yako ya kichochezi wewe lazima utakuwa umehusika na mpango mzima nyie mnaujua mmetumwa kuja kutuhadaa unajifanya unahasira za kinafiki mnapanga maujia unajifanya kumtaja mwigulu na kwa nini umemuona mwigulu tu kama huna lako jambo dhidi ya mwigulu.
Kwa vile mzee wa mipango anatoka Iramba na si Arusha. Arusha ndipo target yake, ukabila ndio msingi wake wa Fikra. CCM hawajaanza leo kuwafuta wachaga kila mahali ktk vita yao ya kuangamiza wachaga....hata Mengi kakumbana sana na haya mambo.....ya hawa wauza nchi wa karne hii.
Mkuu ni kweli hayo mauaji ni ccm wamepanga.Nani sasa amuhoji Mwigulu wakati hao polisi WA kumhoji ndo kapanga nao mauaji?
Labda waje Scotland Yard maana FBI wamenunuliwa na Kikwete