Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Mkuu Chris Lukosi
Nimesikitika sana yaani kuuana kwa sababu bado natafakari uhalisia wa tukio zima; Why Arusha? what is motive behind it? all of this happened just because of nonsense election?something is wrong somewhere; we don`t need to rush but we need to have closer look! It`s so sad and very painfully to see innocent civilians die like that; shame to whoever behind it
Yaaani watu wafe kwa ajili ya uchaguzi wa madiwani?

Kwani Diwani atabadili nini la zaidi?

Kwa nini watu wasife kwenye uchaguzi mkuu wafe leo? au kuna mbinu mpya za kujipatia umaarufu zinatumiaka? au kuna mtu anatumia mwanya wa siasa kutuchonganisha na kuua watu wasio na hatia?
 
Mwingulu kwanini unatuua wana arusha tumekukosea nini. Au kuikataa ccm ndio mmeamua kutumaliza. Naamini ipo siku nawewe yatakukuta2.

mbona wewe unaoomgea ni mzima au nawewe ni mmoja wa wale waliopewa wayatumi kuzuru watu wakajizuru kwa makosa
 
Nasubiri kusikia Rais Kikwete amekatisha ziara yake London na kurudi nyumbani kufariji wafiwa na majeruhi. If it will happen though.

Poleni sana Watanzania wenzangu mliokumbwa na kadhia hii

Unamsubiri Kikwete?? kwani kuna asiyejua kwamba akija atatoa millions kwa wafiwa (kutoka kwenye hela ya wananchi) na danganya toto. Watanzania amkeni usingizini. Napenda kutoa analysis ya tukio hili kama ifuatavyo; CCM wamejua kwamba hawawezi kushindana na CHADEMA katika zoezi la maudhulio ya watu viwanjani. Hapa nadhani walitaka kuwatisha watu ili wasiwe wanaudhulia mikutano kwa sababu kwao ni tishio. Sasa hivi hatupaswi kungoja mtu atupe ulinzi. Serikali haina nia hata kidogo. Rais hata kama angekuwepo, yangekuwa yale yale. Yeye kawaachia nchi kina Kinana, Mwigulu na Nape,, matokeo ndo haya. Tushikane pamoja. Hawa watu wameishiwa kila kitu. Tunaweza kuwashitaki kama tukichukua madaraka. Mwigulu tuna ushahidi wa kutosha kila akifungua mdomo. Tusikubali million za rambi rambi kutoka kwa viongozi wa serikali ya kina Mwigulu. Ukitaka kujua wameishiwa, msikilize Mwigulu akiongea jukwaani. Haongei lolote kuhusu chama chao zaidi ya kusema uchafu. Mwisho nawapa pole wafiwa. Haya ni mapito, pengine yatatokea mengine mbeleni ila damu yao isiende bure. Poleni CHADEMA, poleni watanzania wenye mapenzi mema.
 
kwanza namshukuru Mungu kwa kuniepusha na kadhia hiyo kwan na mm kwa sehemu flan huenda ningekua marehemu au majeruh mana nilikua jiran kabsa na bomu lilipo angukia,kifup 2li shuhudia mfuko mweus ukirushwa kutoke upande wa lilipokua gar la matangazo ambalo ndio lilikua jukwaa la viongoz mrushaji alidhamiria kulirusha pale jukwaan yan waue viongoz we2 akiwapo Mbowe, Lema na viongoz wengne wa chama,baada ya bomu kurushwa aliyerusha inasemekana alikimbilia kwenye gar ya polis na gafla polis waka anza kurusha risas za moto na mabomu kuwazuia raid wasikarbie gar lao huku wao waki kimbia kwa kasi kifup ilikua kama mchezo wa kuigza filam,nitoe rai kwa ccm na serkal yao kua damu wanazo mwaga cku inakuja watalpa wao na vzaz vyao.,nawasilisha
 
Kuna thread moja humu ilimnukuu Nape Nnauye akiwa anahutubia mmoja wa mikutano yao huko Njombe akisema, " Anawasihi wananchi wasiende kushiriki mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani kwa kuwa watauawa bure".( mara zote mtu huyu anapozungumzia vyama vya upinzani anamaanisha CDM)
Aliyoyasema Nape yametimia.Hali hii haina tofauti na kauli zao Nape na Mwigulu kuhusu njama za mauaji walizokuwa wanazizungumza kabla ya kibanda kuteswa na kuumizwa; na baadaye wakaishia kumweka selo Rwakatare.

Hawa watu ni vichwa maji, zoezi la Rwakatare limefeli leo bado wamekuja na uhuni na ugaidi ule ule.

ANGALIZO KWA WANACHADEMA WOTE USIKU HUU: Hii ni mbinu ya hawa wapinzani ya kuwatisha na kuwafanya wana-Arusha wabaki kuduwaa na kupigwa butwaa huku wao wakipanga masanduku ya kura feki vituoni. Hilo linafanyika usiku huu katika kata zote ambako kuna zoezi la uchaguzi mdogo kesho tarehe 16 Februari.

KWA WANA ARUSHA NA WANANCHI WOTE WA TANZANIA HII: Ili kuienzi damu ya watoto na makamanda waliouawa katika shambulizi hilo na kuwapa heshima wale waliojeruhiwa tangu kampeni zianze hadi leo hii, tujitokeze kwa wingi kesho kukipa Chadema ushindi katika kata zote. Kwa kufanyha hivyo, watanzania tutakuwa tunawaenzi kina marehemu Daudi Mwangosi, akina mama na akina baba wote waliouwa wakitetea ukombozi wa Tanzania na ukombozi wa Zanzibar. ALUTA CONTINUA!
 
  • Thanks
Reactions: Wed
Yaaani watu wafe kwa ajili ya uchaguzi wa madiwani? Kwani Diwani atabadili nini la zaidi? Kwa nini watu wasife kwenye uchaguzi mkuu wafe leo? au kuna mbinu mpya za kujipatia umaarufu zinatumiaka? au kuna mtu anatumia mwanya wa siasa kutuchonganisha na kuua watu wasio na hatia?
Mkuu hiki ni kitendawili na majibu yake yapo; uchaguzi wa madiwani una kipi kikubwa mpaka wauane? na kwanini Arusha? Mbona Iramba na kwingeneko kulikuwa shwari?
 
Yaaani watu wafe kwa ajili ya uchaguzi wa madiwani?

Kwani Diwani atabadili nini la zaidi?

Kwa nini watu wasife kwenye uchaguzi mkuu wafe leo? au kuna mbinu mpya za kujipatia umaarufu zinatumiaka? au kuna mtu anatumia mwanya wa siasa kutuchonganisha na kuua watu wasio na hatia?

Mkuu hiki ni kitendawili na majibu yake yapo; uchaguzi wa madiwani una kipi kikubwa mpaka wauane? na kwanini Arusha? Mbona Iramba na kwingeneko kulikuwa shwari?
 
Nahisi kama vile wewe ndiye muhusika au chama chako cha ccm maana unawezaje sema ni uongo wakati kwa macho yangu mawili nimeshuhudia?
Au unahitaji labda nisemeje?
Ni ukweli wakweli na si uongo na kesho utaskia wale waliopigwa risasi na polisi na si bomu tu lililolipuka ndio limeua.

ww umeshuhudia uongo..wengi wameripoti hapa kile kilichotokea na sio kile wanachokitaka wao. Kama unataka uaminike hapa jukwaani usipotoshe wala kuandika uongo. Badilika
 
ccm hawawezi kutega hayo mabomu ,ili waachive nini?tena siku ya mwisho wa kampeni...mbona unakua na haraka kulaumu kabla,au unahusika mkuu?

Kuna mtu aliandika hapa juzi jinsi Mwigulu, Mkuu wa mkoa Arusha, usalama wa taifa watu wawili na yeye akiwemo, Shonza na wengine jumla watu nane...walikuwa kwenye kikao cha kufanya mkakati wa kuvuruga matokeo ya uchaguzi. Walishasoma arama za nyakati wakaona hawawezi kushinda, hivyo walipanga kutumia polisi kumteka "kibaka" na kumvisha mavazi ya UVCCM. Wakishafanya hivyo walipanga kumyanganganya simu na kumtuhumu Mh. Lema kwa mauaji. Walipanga kumvamia Lema na wapandikize vifaa hivyo kwenye gari lake kama ushahidi. Swala la Bomu nalo lilizungumziwa hila haikuwa option. Baada ya huo mkutano, leo ndo tunaona wameamua kutumia bomu. Huyu mtu aliandika hapa jana ila watu hawakupay attention.
 
Lowassa ni vema akafanyiwa security study, haya ni maoni yangu kwa namna nilivyomfuatilia.Wale ndugu zangu wenye kujua face Vs tone watakuwa wamenielewa!

Teh teh.....anayo kazi nyingi sana.tabaki kuwa ngazi tuu kwa wenye chama.
 
Nakumbuka Ludovick alipojiteka, alijitahidi sana ku act ili ajiondoe mbali kabisa na watuhumiwa ili na yeye aonekane victim.

Kumbe unajua mpaka hapa, nini kinakushinda unganisha dot?Wengine sisi tulipofika umri wa miaka 6 tuu tuliweza unganisha dots... na kukkumbuka mambo mengi yaliyotokea tukiwa wadogo hajuwezi ongea....sasa wewe km hujaweza unga dots z amambo yaliyotokea juzi tuu ukiwa hata jeshi umeacha.?

Najua element za upolisi bado unazo ndio maana hujali sana matokeo ya matendo yako,ila nakukumbusha tuu kuwa unajitahidi sana kujisukuma ktk matendo ambayo ulipaswa shtuka sana ,kama kweli una element ya kizalendo kidogo.mstuko huo ungekufanya uwe responsible kidogo.
 
Tuliokuwa uwanjani tumeshuhudia polisi wakipiga risasi watu walio kuwa wakikimbia kujiokoa katika bomu pia kuna dada alimwona mrusha bomu lakini alivyokuwa akimnyoshea kidole nakumkimbiza ndipo polisi walivyomtandika risasi nakumchukuwa mrusha bomu nakutokomea naye. Huu ni ukweli na siyo chuki.
We ndo umezungumza ukweli halisi
 
ww umeshuhudia uongo..wengi wameripoti hapa kile kilichotokea na sio kile wanachokitaka wao. Kama unataka uaminike hapa jukwaani usipotoshe wala kuandika uongo. Badilika

Mimi naweza sema nilikuwa karibu zaidi na mahali bomu lilipolipuka na pia tulikuwa hasra zaidi polisi walivyokuwa wanamkimbiza mlipuaji wakati sisi tulikuwa tunamtaka tummalize hapo hapo
 
Kuna thread moja humu ilimnukuu Nape Nnauye akiwa anahutubia mmoja wa mikutano yao huko Njombe akisema, " Anawasihi wananchi wasiende kushiriki mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani kwa kuwa watauawa bure".( mara zote mtu huyu anapozungumzia vyama vya upinzani anamaanisha CDM)
Aliyoyasema Nape yametimia.Hali hii haina tofauti na kauli zao Nape na Mwigulu kuhusu njama za mauaji walizokuwa wanazizungumza kabla ya kibanda kuteswa na kuumizwa; na baadaye wakaishia kumweka selo Rwakatare.

Hawa watu ni vichwa maji, zoezi la Rwakatare limefeli leo bado wamekuja na uhuni na ugaidi ule ule.

ANGALIZO KWA WANACHADEMA WOTE USIKU HUU: Hii ni mbinu ya hawa wapinzani ya kuwatisha na kuwafanya wana-Arusha wabaki kuduwaa na kupigwa butwaa huku wao wakipanga masanduku ya kura feki vituoni. Hilo linafanyika usiku huu katika kata zote ambako kuna zoezi la uchaguzi mdogo kesho tarehe 16 Februari.

KWA WANA ARUSHA NA WANANCHI WOTE WA TANZANIA HII: Ili kuienzi damu ya watoto na makamanda waliouawa katika shambulizi hilo na kuwapa heshima wale waliojeruhiwa tangu kampeni zianze hadi leo hii, tujitokeze kwa wingi kesho kukipa Chadema ushindi katika kata zote. Kwa kufanyha hivyo, watanzania tutakuwa tunawaenzi kina marehemu Daudi Mwangosi, akina mama na akina baba wote waliouwa wakitetea ukombozi wa Tanzania na ukombozi wa Zanzibar. ALUTA CONTINUA!

Ninachowapatia huruma CCM ni hiki...lile bomu linaweza fanana na la Olasiti....catholics wanaangalia kwa makini sana.Papara zimeawauza....Vatican wataunganisha dot....km mtuhumiwa kalindwa na polisi kazi ipo kwa polisi kumnyoosha..na kutaja mtandao mzima....kma polisi wamekwenda mficha basi ni wazi ...Vatican hawana kazi ngumu kupata muuaji.
 
Hii haikubaliki kwa hali yoyote ile, huwezi kutoa roho za watu wasio na hatia kwa ujinga huu wa kisiasa, vyovyote vile itakavyokuwa hili jambo halikubaliki abadan.

So sad kuona innocent wakiumizwa na kuuliwa kama wanyama! thamani ya utu lazima ilindwe na kuheshimiwa.
 
CCM kwa kitendo hiki haki ya mungu masterplaners mna maswali ya kujibu mbele ya muumba..kwa ile post ya juliana shoza fb huku akipewa sapoti na mtela,kama police watashindwa kuwahoji basi moja kwa moja ntaamini police wanashirikiana na CCM kuwaangamiza wananchi
 
Siasa kweli zimeingiliwa lakini mbona arusha wamepita viongozi wengi na wa kila aina kwa nini uongozi wa leo arusha imekuwa ya damu tu,jamani arusha wamekosa nini au wamekosea kuwachagua nyie wanasiasa sasa mkiwaua mtamtawala nani.
 
Ccm kwa kitendo hiki haki ya mungu masterplaners mna maswali ya kujibu mbele ya muumba..kwa ile post ya juliana shoza fb huku akipewa sapoti na mtela,kama police watashindwa kuwahoji basi moja kwa moja ntaamini police wanashirikiana na ccm kuwaangamiza wananchi
Mkuu na ile kauri ya dk slaa na zile za lema au huna kumbukumbu ndugu.
 
Back
Top Bottom