Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

CCM inabidi mtuambie mafunzo haya ya kulipua watu na mabomu mmeyatolea wapi,chama chenu kipo mrengo gani?,kuwa ccm yataka moyo kwani ni sawa na kuchukua kadi ya jehanamu.
 
Mmelipua nyinyi wenyewe ili kutia fitna, mnajulikana na ndio mwisho wenu.

Tatizo unadhani tup kwenye mizaha , ukajiona unaweza kosa adabu msibani km kawaida yenu.hakuna wa kukulegezea hapa uvuruge mambo serious, watu wa njia za vumbi mnaingia mjini kwa fujo sana.Mwigulu kawathibitishia watu wa arusha kuwa mtu wa njia ya vumbi anachukua muda sana kustaarabika.
 
Nakumbuka Ludovick alipojiteka, alijitahidi sana ku act ili ajiondoe mbali kabisa na watuhumiwa ili na yeye aonekane victim.
 
Hizo ni siasa za uchochezi kama za mfa maji' kama mna ushahidi wa hayo yaliyotokea peleken kwenye vyombo vya sheria' hzo kafara mnazozitoa nyinyi cdm na kusingizia CCM zitawatokea puani' tumekuwa na vyama vingi vya upinzani nchi hii na Afrika kwa ujumla ila sijaona chama chenye siasa za kipuuzi na kipumbafu kama cdm kisichojua hata thaman ya uhai wa watu?????

haha...sheria ipi sasa wakati polisi walikuwa wakipiga risasi za moto watu waliopigwa bomu....badala ya kumtrack mpiga bomu.Wabongo mpo easily influenced sana..hata polisi hawana hiyo skills ya kulock target zaona kujaribu control mob ili jamaa asikipotee.
 
hii sasa nia aibu kwa Taifa, kesho kutwa tuu tuna ugeni mkubwa sana kitaifa na kimataifa, hivi kweli intellegensia ya Tanzania haikuwaona? mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa System yetu haikuwaona. Kuna uwezekano waliwaona wakadharau, wakidhani jamaa anatania. Au haya ni matunda ya mafunzo ya kijeshi kwa vijana wa CCM kule MBY? kufa Mtanzania ni hasara kubwa sana. Kwa sababu najua now wako alert kuliko kawaida haiwezekani, WATANZANIA TUNATAKA MAJIBU, why now? hili litokee. Cha muhimu tusiwazoeze Watanzania kuona damu ya mtu ikimwagika. siku ikisala watamwaga damu hawa. Remember what happened in Ivory Coast, wakati wa mwisho wa utawala wa Guei, wenye akili hawafichi kichwa mchangani
 
unaandika kwa sababu una chuki, unapotosha na kudanganya..shame on you

Tuliokuwa uwanjani tumeshuhudia polisi wakipiga risasi watu walio kuwa wakikimbia kujiokoa katika bomu pia kuna dada alimwona mrusha bomu lakini alivyokuwa akimnyoshea kidole nakumkimbiza ndipo polisi walivyomtandika risasi nakumchukuwa mrusha bomu nakutokomea naye. Huu ni ukweli na siyo chuki.
 
Inasikitisha sana; poleni sana wafiwa; hivi ni kwanini kila tukio baya ni Arusha? Ipo haja ya kulifanyia uchunguzi kwa kina; raia wasio na hatia kupoteza maisha bila sababu yoyote ya msingi ni jambo ambalo linaudhi na linakerehesha; yaani haya yote kwasababu ya uchaguzi wa madiwani wa kata nne tu? Matokeo hayo yatabadali kitu gani mpaka mdiriki kuua watu bila sababu?
 
Ww ukiandika uongo wako, watu wenye akili timamu wanatafakari na kupima kisha wanachambua mchele na chuya lakini wale wenye akili kidogo pengine km ww watameza jinsi ilivyo
 
Endleleeni kujenga chuki lakini mkae mkijua iko siku mtaumbuka kweupee!
Chris Lukosi, unajua sometimes unaboa sana na post zako! Usichokijua wewe kuhusu mbinu za CCM kuua watu kwenye mikutano ya CHADEMA ni kipi? Yalitokea mauaji ya Arusha Morogoro na kwingineko, CCM mkapaisha sauti kusema CDM wanaua watu. Kama si tu picha za mnato zilizopigwa kwenye tukio la mauaji ya Mwangosi, ile kesi ingeshakuwa ni ya CHADEMA pia maana tayari Kamhanda alishatangaza kwamba wananchi walirusha kitu chenye ncha kali!
Kwanini baada ya polisi kuumbuka kwamba ndiyo wanaoua watu kwenye mikutano ya CHADEMA, mauaji yalipungua? Umefuatilia matukio ya utekaji nyara na ukataji mashoka viongozi wa CHADEMA huko Mbeya na hata Arusha?

By the way, nani mwenye jukumu la kuhakikisha usalama katika mikutano ya vyama? Usijifanye kama kipofu Lukosi, hizi damu za watu mnazomwaga hizi, hazitawaacha salama. Believe me or not. This will never pass, hata kama mbingu na nchi zitapita. Nawahakikishieni CCM haitapita, tena ombeni sana Mungu hizi damu za Raia zisilipwe kwa kifo cha kiongozi wa juu wa chama chenu. Alikufa Ghadafi na ubabe wake wote, haitashindikana ninyi. Hivi vifo havitavumilika. Watanzania watachoka kuzika!
 
Last edited by a moderator:
Lowassa ni vema akafanyiwa security study, haya ni maoni yangu kwa namna nilivyomfuatilia.Wale ndugu zangu wenye kujua face Vs tone watakuwa wamenielewa!
 
Inasikitisha sana; poleni sana wafiwa; hivi ni kwanini kila tukio baya ni Arusha? Ipo haja ya kulifanyia uchunguzi kwa kina; raia wasio na hatia kupoteza maisha bila sababu yoyote ya msingi ni jambo ambalo linaudhi na linakerehesha; yaani haya yote kwasababu ya uchaguzi wa madiwani wa kata nne tu? Matokeo hayo yatabadali kitu gani mpaka mdiriki kuua watu bila sababu?
Sasa unamuuliza nani?
 
Nakumbuka Ludovick alipojiteka, alijitahidi sana ku act ili ajiondoe mbali kabisa na watuhumiwa ili na yeye aonekane victim.

Mkuu Chris Lukosi
Nimesikitika sana yaani kuuana kwa sababu bado natafakari uhalisia wa tukio zima; Why Arusha? what is motive behind it? all of this happened just because of nonsense election?something is wrong somewhere; we don`t need to rush but we need to have closer look! It`s so sad and very painfully to see innocent civilians die like that; shame to whoever behind it
 
Last edited by a moderator:
Kama polis iliweza kukubali ushahidi video ya Rwakatale hapa jf kama ushaidi wa ugaidi, ifanye inavyoweza pia kumpata mtu anaitwa chama, zombe na utauifakwanza kwa maojiano ya uchochezi. hawezekani wakawa watani wa msiba kiasi hicho.
 
Ww ukiandika uongo wako, watu wenye akili timamu wanatafakari na kupima kisha wanachambua mchele na chuya lakini wale wenye akili kidogo pengine km ww watameza jinsi ilivyo

Nahisi kama vile wewe ndiye muhusika au chama chako cha ccm maana unawezaje sema ni uongo wakati kwa macho yangu mawili nimeshuhudia?
Au unahitaji labda nisemeje?
Ni ukweli wakweli na si uongo na kesho utaskia wale waliopigwa risasi na polisi na si bomu tu lililolipuka ndio limeua.
 
Sasa unamuuliza nani?

Nina majonzi na masikitiko najiuliza mwenyewe na kama wewe unalo jibu pia waweza kunijibu; ni habari ambayo inamgusa kila mtanzania bila kujali itikadi ya kichama!
 
Back
Top Bottom