Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Siasa za kuhubiri kuwa cdm ni ya wakristo ndio matokeo yake haya. ccm wameharibu nchi hii kwa tamaa ya kubaki madarakani.
Au wamelipua wao mwisho wa siku wapate pa kuendeleza propaganda za kufanya mauaji kisha kugeuzia cdm kibao kuwa ndio wanahusika ili kuichafua serikali.
 
Kwa hiyo ulitaka nani afanye uchunguzi?
Ukase ukijua hao wanaopanga haya mauaji iko siku mmoja wao ataimba tu. Subiri wanyimwe malipo au wazungushwe utasikia tu.

Mwisho wa mpangaji wa haya mauaji utafika tu siku moja

Nilipenda sana km ktk mishemishe zenu za kisiasa pia mjue kila tendo mlifanyalo lisiwe na faida mbili..moja ya kuwadanganya na ya pili ni ya kuwasaidia wengine wenye malengo tofauti sana.Nasem ahivyo kwa vile najua hujaona mengi sana ktk mipango mikubwa ya CCM.Na hii ni kificho kwa wengi ila utashuhudia ktk kutoautiana kwa kauli. za kila tukio baya.....

Kwa taarifa niliyo nayo tayari polisi kule arusha wanafanya move binafsi..Lema ktk sakata na mkuu wa Mkoa alitonywa na polisi akainuka fasta..Likatua bomu km la mwangosi(la machozi)..Polisi wema sasa hivi wanawaliza hao magaidi huko huko kwani wamechoka mazingaombwe.

Ni wewe tuu maisha ya ulaya yamekubadili,lakin tayari wengi tuu wamesoma meter hata vyeo vinakwenda mwendo fulani ambao unaonekana huku..walichomekea water makings za kuzugia.
 
Waliopoteza maisha ni watanzania wenzetu!

Je, kuna kiongozi yeyote wa serikali aliyetembelea eneo la tukio?

Je, kuna kiongozi wa serikali aliyetembelea majeruhi hospitalini?

Je, kuna pole kutoka kwa Mkuu wa Mkoa au wa wilaya au popote katika ngazi ya juu zaidi.

Kama haya yote hakuna, natafakari..............................
 
Hivi ni kwanini CCM inakuwa na makambi ya vijana kufundishwa umafia? IGP unalala? Badae muanze kusema ni chadema?
 
na kwanini polisi wanatumika kuwazima wazalendo na jitihada za mageuzi
Wewe ukiambiwa uthibitishe hiki ulichoandika utaweza,sasa hapa polisi wamehusikaje hizi kauli zingine hizi bure kabisa.
 
who are you anyway,siku zenu zinahesabika sana tutatafuta panya wote from Lindi mpaka Bagamoyo hizi roho zilizoondoka hata wajukuu wenu watalipia hizi gharama.

siwaamini kabisa tangu mkamatwe na ile video yenu ya kupanga mauaji, mkatambulika mlipomtishia mamake zitto na bastola na mlipodondosha sumu pale bar
 
Wana Arusha,

Kwa masikitiko makubwa, Mimi na mama Slaa tumepokea tukiwa Munich Ujerumani kwa masikitiko makubwa tukio la kulipuliwa Bomu katika mkutano wa Kampeni ya uchaguzi mdogo wa Madiwani, Arusha.

Tunatoa pole kwa familia zote za waliopoteza maisha katika tukio Hilo na pia tunamwomba kwa namna ya pekee Mwenyezi Mungu awape faraja wote walioumia kwa namna mmoja au nyingine na kuwapa faraja na neema kubeba maumivu waliyopata.

Chadema tunaanza na Mungu, tunaendelea na Mungu na tunamaliza na Mungu. Kama mtu asiye na dhamira na ubinadamu, awaye yeyote, na kwa sababu yeyote ile amefanya hivyo, katika hatua hii ni Imani yangu kuwa Damu ya ndugu zetu hao haitapotea bure. Kwa damu hiyo watanzania tushikamane zaidi, kuwaombea waliotutangulia mbele ya haki, lakini damu hiyo ituunganishe zaidi katika kupigania Tanzania isiyo na maonevu ya aina yeyote ile.

Hali hii sasa haivumiliki tena. Nchi inayoyoma, na hatuwezi kuendelea kutazama nchi inaporomoka. Tukiisha kutoa tahadhari miaka miwili iliyopita hawakutusikiliza. Hakuna Maisha ya Mtanzania hata mmoja kupotea katika mazingira yanayopaswa kuwa ya Amani. Uchaguzi kimsingi unapaswa kuwa tukio la Amani. Jukumu la kuhakikisha Amani ni la serikali na hakuna sababu ya kigugumizi Serikali inaposhindwa kutimiza wajibu wake wa msingi.

Roho za Marehemu zipumzike kwa Amani.

Mmelipua nyinyi wenyewe ili kutia fitna, mnajulikana na ndio mwisho wenu.
 
Someday they will pay the price of their evil. Let's wait. Condolences to the families and CDM. Let's soldier on to free Tanzania from the evil CCM

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Waliopoteza maisha ni watanzania wenzetu!

Je, kuna kiongozi yeyote wa serikali aliyetembelea eneo la tukio?

Je, kuna kiongozi wa serikali aliyetembelea majeruhi hospitalini?

Je, kuna pole kutoka kwa Mkuu wa Mkoa au wa wilaya au popote katika ngazi ya juu zaidi.

Kama haya yote hakuna, natafakari..............................
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo rc na dc arusha walishatembelea na kujionea hali halisi na wametolea taarifa.
 
Wewe ukiambiwa uthibitishe hiki ulichoandika utaweza,sasa hapa polisi wamehusikaje hizi kauli zingine hizi bure kabisa.
Unaelewaje neno kuthibitisha,wewe ndio bure una macho lakini huoni,una masikio lakin husikii.,kafie mbele
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo rc na dc arusha walishatembelea na kujionea hali halisi na wametolea taarifa.
Tupia hapa hiyo taharifa usilete unafki hapa,mambo waongelee Bar uje udai ni matamko..
 
Nilipenda sana km ktk mishemishe zenu za kisiasa pia mjue kila tendo mlifanyalo lisiwe na faida mbili..moja ya kuwadanganya na ya pili ni ya kuwasaidia wengine wenye malengo tofauti sana.Nasem ahivyo kwa vile najua hujaona mengi sana ktk mipango mikubwa ya CCM.Na hii ni kificho kwa wengi ila utashuhudia ktk kutoautiana kwa kauli. za kila tukio baya.....

Kwa taarifa niliyo nayo tayari polisi kule arusha wanafanya move binafsi..Lema ktk sakata na mkuu wa Mkoa alitonywa na polisi akainuka fasta..Likatua bomu km la mwangosi(la machozi)..Polisi wema sasa hivi wanawaliza hao magaidi huko huko kwani wamechoka mazingaombwe.

Ni wewe tuu maisha ya ulaya yamekubadili,lakin tayari wengi tuu wamesoma meter hata vyeo vinakwenda mwendo fulani ambao unaonekana huku..walichomekea water makings za kuzugia.
Mkuu mbona mnatoa matamko haraka sana kabla hata upelelezi haujaanza?

Inawezekana kabisa mnajua kinachoendelea
 
Hizo ni siasa za uchochezi kama za mfa maji' kama mna ushahidi wa hayo yaliyotokea peleken kwenye vyombo vya sheria' hzo kafara mnazozitoa nyinyi cdm na kusingizia CCM zitawatokea puani' tumekuwa na vyama vingi vya upinzani nchi hii na Afrika kwa ujumla ila sijaona chama chenye siasa za kipuuzi na kipumbafu kama cdm kisichojua hata thaman ya uhai wa watu?????
 
Wamekufa watanzania wenzetu tuweke siasa pembeni mi naona kuna kitu zaidi ya chadema na ccm watu wa vyombo vya usalama mbona wamelala sana aisee kila mwezi matukio ya mabomu inauma sana
 
Dalili ya kushindwa mpambano wa ngumi ni kumng'ta adioui... Ccm ndo zake
 
Back
Top Bottom