Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Hawachelewi kusema ni mgonjwa wa akili. Tutafika tu. Wanachotaka.kufanya palebArusha ni kutaka kuwaaminisha wana Arusha kuwa chini ya upinzani hawako salama. Wanaoratibu haya wanaelekea kwenye pumba zinazoungua wakiwa peku, na hawajui kuwa pumba zina moto.Wakuu nitawapa updates soon
=====
Updates:
Mkutano ulishaisha, Mbowe akaanza kukusanya michango kama ilivyo kawaida kwa mikutano ya CHADEMA, ndipo ghafla kijana mmoja aliyekuwa amevaa kaptula ya jeans iliyoraruka kidogo akarusha bomu wakafa watatu