Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Hawachelewi kusema ni mgonjwa wa akili. Tutafika tu. Wanachotaka.kufanya palebArusha ni kutaka kuwaaminisha wana Arusha kuwa chini ya upinzani hawako salama. Wanaoratibu haya wanaelekea kwenye pumba zinazoungua wakiwa peku, na hawajui kuwa pumba zina moto.Wakuu nitawapa updates soon
=====
Updates:
Mkutano ulishaisha, Mbowe akaanza kukusanya michango kama ilivyo kawaida kwa mikutano ya CHADEMA, ndipo ghafla kijana mmoja aliyekuwa amevaa kaptula ya jeans iliyoraruka kidogo akarusha bomu wakafa watatu
Even me nimechafukwa na roho,acha ampe dawa yake huyo kenge
Ndugu yangu
Nchi hii sio ya juzi, watanzania waleo wanajua na kuelewa ukweli!
Ninakuambia kuwa ccm na serikali yake wanahusika 100%
Tanzania tunaenda wapi?? CCM uroho na tama ya jiji la Arusha mnamwaga damu za watu? Naanza kufikiria kaskazini tujitenge tuwe na taifa letu, enough is enough!!
Ndugu yangu
Nchi hii sio ya juzi, watanzania waleo wanajua na kuelewa ukweli!
Ninakuambia kuwa ccm na serikali yake wanahusika 100%
CCM wameshajua kuwa Arusha wanaambulia patupu hii ni mbinu ya mwisho ya kutisha wapiga wasijitokeze kesho ila ku chance kuiba kura!!
tuambie ni nani kama sii mwanaCCM?ccm hawawezi kutega hayo mabomu ,ili waachive nini?tena siku ya mwisho wa kampeni...mbona unakua na haraka kulaumu kabla,au unahusika mkuu?
CDM acheni kuvuruga amani ya nchi. Mbona kwenye mikutano ya vyama vingine hatushuhudii haya? Wa TZ tuwe makini tusiingie mkenge wa kuviunga mkono vya kama hivi.
Dah...so sad....poleni sana wafiwa na.majeruhi
Kuna some.connections na tukio la olasiti naona...
Inabidi ukweli ujulikane tu hatuwezi kuendela namna hii
Dah...so sad....poleni sana wafiwa na.majeruhi
Kuna some.connections na tukio la olasiti naona...
Inabidi ukweli ujulikane tu hatuwezi kuendela namna hii
Huyo kijana amekamatwa??Wakuu nitawapa updates soon
=====
Updates:
Mkutano ulishaisha, Mbowe akaanza kukusanya michango kama ilivyo kawaida kwa mikutano ya CHADEMA, ndipo ghafla kijana mmoja aliyekuwa amevaa kaptula ya jeans iliyoraruka kidogo akarusha bomu wakafa watatu
CCM wameshajua kuwa Arusha wanaambulia patupu hii ni mbinu ya mwisho ya kutisha wapiga wasijitokeze kesho ila ku chance kuiba kura!!
bomu limerushwa na nani
Matunda ya siasa za Mwigolo hizo!