Bomu lapiga karibu na ubalozi wa Iran, Syria na kuua mtu wa karibu sana na Iran

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi.

One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report​

By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25, 2024 11:34

One person is reported dead according to a Syrian human rights organization based in the UK.​

An explosion was detected in the al-Maza neighborhood of Damascus, Syria, Israeli media reported Saturday morning, citing Syrian reports. Al-Maza is home to the Iranian embassy.

At least one person was killed, a man whose identity has yet to be disclosed but is considered "close to Iran."

Poleni brazaj
 
bibi yako kafa. kapigwa na nani?
 
1716636878573.jpeg
wakiristo bana,
 
Inatakiwa Iran na Israel wakae meza moja wapatane vinginevyo vita itatokea, ukiangalia Iran na Israel hawapakani lakini kinachosababisha uhasama wa nchi hizi ni kitu gani?
 
Hakuna mapatano kati ya Hakalu la Mungu na shetani,haitatokea.
 
Hapa umeua boss yani babu zima eti limeoa kijukuu chache kweli laana
Hilo zee linaenda kukata moto likikiachia mimba. Usione yanajitahidi eti ilimu magharibi haram simply wanawake wasijitambue ili waendelee kuwageuza mateka wa ngono chini ya mwamvuli wa wanawake "wanne at time". Ikitokea limeendelea kuwa hai, likikichoka lina-create mazingira ya talaka ili lina-create vacancy ya kubadili.
 
Kweli kabisa kuna wakati inabidi tutumie tu utashi wa kibinadamu hizi imani nyingine ni minyororo ndani ya akili zetu
 
Hilo zee linaenda kukata moto likikiachia mimba. Usione yanajitahidi eti ilimu magharibi haram simply wanawake wasijitambue ili waendelee kuwageuza mateka wa ngono chini ya mwamvuli wa wanawake "wanne at time". Ikitokea limeendelea kuwa hai, likikichoka lina-create mazingira ya talaka ili lina-create vacancy ya kubadili.
Bora hao kuliko nyie mnaobanduana wanaume kwa wanaume siku hizi mpaka ndoa mnafunga
 
Back
Top Bottom