Bondia Hassan alilipwa elfu 60 tu kwenye pambano lililoondoa uhai wake

Mbona serikali ikitoa fedha mnamsifia huyo mama yenu kwani hela zinatoka kizimkazi?
Acha chuki.
Yaani mtu aende akubali pesa kiduchu Kwa kazi ya hatari amsingizie mama
 
Samia ana kosa gani. Ulitaka aingilie makubaliano ya kazi ya watu
Huyo bondia ndo hakuna thamani yake
Yeye ana uwezo wa kuingilia chochote katika kutetea haki za wananchi labda kesi iliyopo mahakamani ndiyo hawezi na kesi yenyewe labda ya madai lakini kesi ya jinai serikali inaweza kuiondoa mahakamani wakati wowote.
 
Yeye ana uwezo wa kuingilia chochote katika kutetea haki za wananchi labda kesi iliyopo mahakamani ndiyo hawezi na kesi yenyewe labda ya madai lakini kesi ya jinai serikali inaweza kuiondoa mahakamani wakati wowote.
Rais sio shangazi yako
Yaani Rais aache kufuatilia miradi mkubwa
Aje ku bargain malipo ya kazi ya mtu
 
Kazi ya kishenzi sana,nawashauri vijana waachane na mambo ya ngumi,kama vipi mapromota wapigane wao na watoto wao
 
Inasikitisha sana lakini mzazi Mungu akikujalia uhai pambana sana mwana asome shule isipokuja kumsaidia hilo sio kosa lako...! Hivi elfu 60 ndo inafanya mtu anapigwa kama ngoma?? elfu sitini inalipa nini kama sio kutumia nauli na kujiuguza hayo madonda ya ngumi huu ni ukatili mkubwa sana
 
Kipindi kile Azam wameyapa promo haya mashindano ya ndondi nadhani ilikua nafuu kidogo kwenye malipo
Ila Sasa hivi ni kisanga
Hilo pambano lake alipigana wapi? Kwa level ipi? Mapambano ya mitaani hayo ndo malipo yake so tusiwalaumu mapromota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…