Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Niliwahi kusikia mahali kwamba Mike Tyson aliwahi kumwambia mwanae kwamba asishiriki mchezo wa ngumi kwa sababu ngumi ni mchezo wa watu masikini/wanaojitafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si uzito mdogo mkuu!Nchi ngumu sana hii. Bondia hana mwili wa mazoezi kakondeana.
Si uzito mdogo mkuu!
Ndio uzito unyoya inaitwa(Feather weight),Unanibishia bondia mstaafu!Hata uzito mdogo huo sio mwili wa mazoezi hana afya kakondeana.
watoe wapiHuwa najiuliza kama hawa mabondia wanayo bima ya afya
Unachezaje mchezo wa hatari hivyo bila bima ya afya😳watoe wapi
kwa hizo afu 60 utakata bima ya afya kwelUnachezaje mchezo wa hatari hivyo bila bima ya afya😳
Bonafsi nisingecheza bila bima ya afya.kwa hizo afu 60 utakata bima ya afya kwel
Ndio uzito unyoya inaitwa(Feather weight),Unanibishia bondia mstaafu!
Huwa najiuliza kama hawa mabondia wanayo bima ya afya
Sasa mtu ana njaa anachaguaje ubondia ndio iwe sababu ya kipato?Njaa mbaya
We Afya kipimo chake mwili!Duuh Kumbe hujui lolote!We jamaa hebu elewa. Nasema huo mwili wake hauna afya sio mwili wa mazoezi hata featherweight wanakuwa physically fit kupigana sio watu dhaifu. Huyu ni dhaifu. Elewa tofauti ya mtu dhaifu na mtu fit bali uzito mdogo.
We Afya kipimo chake mwili!Duuh Kumbe hujui lolote!
Mimi nakaa jirani na uwanja wa mazoezi ya ngumi.Dah niliona mama yake analia sana, nilijisikia uchungu kinoma.
Kama sikosea mshkaji alitoa ahadi home kwamba akimaliza pambano atachinja kuku home.
Apumzike kwa amani kijana mwenzetu.
Pengine angepigana hata Bure SI anafanya kitu anachokipenda?elf 60 au milion 60? hivi kweli unaenda kupigana ili ulipwe kumi kumi 6?