Bondia Hassan alilipwa elfu 60 tu kwenye pambano lililoondoa uhai wake

Bondia Hassan alilipwa elfu 60 tu kwenye pambano lililoondoa uhai wake

Unaanzaaje kupigana? kwa tamaa ya hela mbuzi au umaarufu? mambo ya ovyo sana
Hapana alikuwa anafanya anachokipenda mbona Kuna watu kibao wanachaza Mpira Bure kabisa mtaani na wanavunjika migui?
 
Mimi nakaa jirani na uwanja wa mazoezi ya ngumi.

Kikubwa jamaa angekua ana train harder...plus lishe nzurii..pia Hawa mabondia wa ridhaa huwa wanavaa element kichwani..sijui jamaa hakuvaa...

Unadhani huyo jamaa alie sababisha kifo ataishi kwa amani..?!

Nikiwa mchezaji mahiri nikiwa sentaafu nilipo anzishiwa mpira nyuma nikapiga chenga mpira ukanaswa na namba tisa wao akawa anakimbia na mpira kuelekea langoni kwetu kipa WETU akatokea akawa kachengwa... Mimi Nika fanya faulo mbaya / tackling ya hatari nikamdondosha jamaa NA KUMVUNJA MKONO MTOTO WA SHEHE MKUU WA MKOA.

NIKAANZA KUTISHWA NTATUPIWA MURUHANI/ JINI SIO SIRI MZEE WAO SHEHE ALIKUA MTU MBADI .JAMAA AKACHUKULIWA KUPELEKWA HOSPITAL MIMI NIKAPIGWA KADI NYEKUNDU

FAMILIA YAO ILIKUA WAELEWA NA WAKANISAMEHE KIROHO SAFI.

OUR STRUGGLING FOR BETTER LIFE 😔 TUNAPITA MPAKA NJIA ZILIZO KATAZWA TUSIPITE.

PUMZIKA KWA AMANI BONDIA KIJANA
Umetisha Sana MKUU🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Kulipwa elfu 60 sio tatizo kabisa maana katika kupambania Career lazima upitie mambo mengi Kama hayo.

Hapo kosa linaweza kuwa alikuwa hajapima Afya yake.

Lishe duni.

Kuingia kwenye pambano ukiwa umeshalewa au kuvuta bangi.

So tusie too judgmental.
 
Bangi sio mbaya ukivuta kiasi husisimua akili na huongeza umakini..

Mike Tyson alikua anavuta na aliwai piga mzungu ma punch 👊 mpaka mzungu akakimbia pambano..

Pia wasukuma wakivuta Bangi mtu mmoja anaweza Lima maekali ya shamba kwa muda mfupi/ ama kumaliza unga/ ugali sadoline 😁😁😁

Hayati bondia na wasiwasi na training zake, lishe, ulevi na pengine ni ajar kazini
 
Utakua huna akili timamu kupigana bila kuchokozwa na haulipwi Kwa kisingizip unapenda kupigana
Huo ni mchezo kama michezo mingine mama sio ugomvi.

Kama ungekuwa na akili timamu ungejua kutofautisha kati ya boxing na ugomvi
 
Kulipwa elfu 60 sio tatizo kabisa maana katika kupambania Career lazima upitie mambo mengi Kama hayo.

Hapo kosa linaweza kuwa alikuwa hajapima Afya yake.

Lishe duni.

Kuingia kwenye pambano ukiwa umeshalewa au kuvuta bangi.

So tusie too judgmental.
Sure nashangaa wanavyolalamika wakati Kuna graduate kibao wanajitolea kwenye maofisi ya watu hawapewi hata nauli
 
Bangi sio mbaya ukivuta kiasi husisimua akili na huongeza umakini..

Mike Tyson alikua anavuta na aliwai piga mzungu ma punch 👊 mpaka mzungu akakimbia pambano..

Pia wasukuma wakivuta Bangi mtu mmoja anaweza Lima maekali ya shamba kwa muda mfupi/ ama kumaliza unga/ ugali sadoline 😁😁😁

Hayati bondia na wasiwasi na training zake, lishe, ulevi na pengine ni ajar kazini
Kifo hakikosi sababu
Tuwape pole familia
 
Bondia Hassan Mgaya aliyepoteza maisha tarehe 29 December, 2024 baada ya kupigwa TKO.

Baada ya kupigwa TKO alilipwa Tsh 60,000 kama malipo ya PAMBANO hilo

Kiasi hicho kilitajwa na Shehe ambaye alikuwa akitaka vitu vilivyokuwa halali ya marehemu, na kutaja Tsh 60,000 kama malipo ya bondia huyo

Soma Pia: Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

Hili lisitaajabisha kijana kufanya kazi ya hatari Kwa malipo kiduchu sana

Mapromota wa ndondi acheni unyonyaji Kwa Watanzania wenzetu, Chama cha ngumi wateteeni hawa vijana wapate maslahi yanayolingana na kazi zao
Malipo kwa mabondia yanatokana mapato kutoka kwenye mchezo wenyewe.
 
Huo ni mchezo kama michezo mingine mama sio ugomvi.

Kama ungekuwa na akili timamu ungejua kutofautisha kati ya boxing na ugomvi
We huna akili mchezo Gani wa kupigana mpaka kutoana manundu na damu halafu ulipwi useme unafuraha naona kichwani kwako zimepungua.
 
We huna akili mchezo Gani wa kupigana mpaka kutoana manundu na damu halafu ulipwi useme unafuraha naona kichwani kwako zimepungua.
Kwaiyo unabisha kuwa boxing 🥊 sio mchezo?
 
Kama kawaida Wabongo na comment zenu za mihemko.Hakuna anayefurahia malipo madogo,sio Muosha magari au Dada wa kazi...hicho wanachokutana nacho ndio hali halisi ya uchumi uliopo,ni jukumu la mpokeaji kuangalia anafanya nini baada ya hapo na si kumlaumu Muandaaji au Muajiri...walau yeye anatoa mazingira ya Mtu kuanzia, kama yupo mwenye utaratibu bora zaidi ajitokeze mbona Vijana wapo wengi tu wanatafuta kwa kutokea hata bila kulipwa chochote?kwenye muziki,sanaa,michezo mbalimbali n.k. na wapo wengi tu hatimaye huishia kukata tamaa na vipaji vyao kwa kukosa platform au jukwaa la kuonesha walichonacho.
 
Back
Top Bottom