Bondia Hassan alilipwa elfu 60 tu kwenye pambano lililoondoa uhai wake

Unaanzaaje kupigana? kwa tamaa ya hela mbuzi au umaarufu? mambo ya ovyo sana
Hapana alikuwa anafanya anachokipenda mbona Kuna watu kibao wanachaza Mpira Bure kabisa mtaani na wanavunjika migui?
 
Hapana alikuwa anafanya anachokipenda mbona Kuna watu kibao wanachaza Mpira Bure kabisa mtaani na wanavunjika migui?
Utakua huna akili timamu kupigana bila kuchokozwa na haulipwi Kwa kisingizip unapenda kupigana
 
Umetisha Sana MKUU🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Kulipwa elfu 60 sio tatizo kabisa maana katika kupambania Career lazima upitie mambo mengi Kama hayo.

Hapo kosa linaweza kuwa alikuwa hajapima Afya yake.

Lishe duni.

Kuingia kwenye pambano ukiwa umeshalewa au kuvuta bangi.

So tusie too judgmental.
 
Bangi sio mbaya ukivuta kiasi husisimua akili na huongeza umakini..

Mike Tyson alikua anavuta na aliwai piga mzungu ma punch 👊 mpaka mzungu akakimbia pambano..

Pia wasukuma wakivuta Bangi mtu mmoja anaweza Lima maekali ya shamba kwa muda mfupi/ ama kumaliza unga/ ugali sadoline 😁😁😁

Hayati bondia na wasiwasi na training zake, lishe, ulevi na pengine ni ajar kazini
 
Utakua huna akili timamu kupigana bila kuchokozwa na haulipwi Kwa kisingizip unapenda kupigana
Huo ni mchezo kama michezo mingine mama sio ugomvi.

Kama ungekuwa na akili timamu ungejua kutofautisha kati ya boxing na ugomvi
 
Sure nashangaa wanavyolalamika wakati Kuna graduate kibao wanajitolea kwenye maofisi ya watu hawapewi hata nauli
 
Kifo hakikosi sababu
Tuwape pole familia
 
Malipo kwa mabondia yanatokana mapato kutoka kwenye mchezo wenyewe.
 
Huo ni mchezo kama michezo mingine mama sio ugomvi.

Kama ungekuwa na akili timamu ungejua kutofautisha kati ya boxing na ugomvi
We huna akili mchezo Gani wa kupigana mpaka kutoana manundu na damu halafu ulipwi useme unafuraha naona kichwani kwako zimepungua.
 
We huna akili mchezo Gani wa kupigana mpaka kutoana manundu na damu halafu ulipwi useme unafuraha naona kichwani kwako zimepungua.
Kwaiyo unabisha kuwa boxing 🥊 sio mchezo?
 
Kama kawaida Wabongo na comment zenu za mihemko.Hakuna anayefurahia malipo madogo,sio Muosha magari au Dada wa kazi...hicho wanachokutana nacho ndio hali halisi ya uchumi uliopo,ni jukumu la mpokeaji kuangalia anafanya nini baada ya hapo na si kumlaumu Muandaaji au Muajiri...walau yeye anatoa mazingira ya Mtu kuanzia, kama yupo mwenye utaratibu bora zaidi ajitokeze mbona Vijana wapo wengi tu wanatafuta kwa kutokea hata bila kulipwa chochote?kwenye muziki,sanaa,michezo mbalimbali n.k. na wapo wengi tu hatimaye huishia kukata tamaa na vipaji vyao kwa kukosa platform au jukwaa la kuonesha walichonacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…